Mkuu usifikiri kila mtu Ni Utopolo Kam wewe!Haya mashindano hata waafrika wenyewe hawayaangalii bali watu hutazama mechi ambazo timu kutoka nchi yao ikiwa inacheza. Mfano hapa bongo huwa tunaangalia mechi ambazo timu kutoka TZ ikicheza na timu ya nchi nyingine hatuangalii mfano Waydad Casablanca vs Esperance, zamalek vs TP Mazambe. Na nchi zingine nao wanaangalia timu yao vs timu ya nchi nyingine hawaangalii Simba vs as vita nk.
Au wewe unazani kila mtu ni utelembwe kama wewe?Mkuu usifikiri kila mtu Ni Utopolo Kam wewe!
Rage hakukosea kuwaita mbumbumbuEti na wao mikia fc wanafanya uwekezaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Wewe unataka tukukumbushe namna yule Kocha wenu Luc alivyowaaita...Mimi sikukumbushi ng'o [emoji1787]Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu
Hahaha angalia huyu takataka..#visit Rwanda unafananisha na #visit Tanzania? Visit Rwanda ipo duniani huko ambako ndo walengwa wakuu ..wewe visit Tanzania unamwandikia mmatumbi mwenzako wa Congo, Chad, sijui Guinea hali yao duni bora ya wewe ..ndo maana mikia ni mikia tu haiwezi kuwa kichwa..Kwani hyo #visit Tanzania itaonwa na waafrica tu
Ni kama visit Rwanda ya arsenal wew umeiona wakat huenda haupo UK
Nimejiuliza hadi nikakosa jawabu.
Ni kwamba wizara imefanya tathmini yake na kugundua kuwa Idadi ya wageni kutoka nje ya Bara la Afrika inatosha na kuamua kuweka jitihada za kuwatafuta wageni kutoka katika Bara Masikini kama Afrika?
View attachment 1695322
Wa-Thailand wakijitangaza kwenye Bara la Nje. (Visitors Market)
View attachment 1695323
Wanyarwanda wakijitangaza kwenye Bara la Nje (Visitors Market)
View attachment 1695324
Taifa la Malaysia likijitangaza kwenye bara la nje (Visitors Market).
......................................................................................................................................................................
View attachment 1695327
Sasa hapa kwetu tumekuja na mpya hapo juu. Sisi tumeamua kuweka jitihada za kuwaita waafrika wenzetu yaani walio masikini kama sisi waje kuutembelea mlima wa Kilimanjaro.
Ni nani aliyeturoga Watanzania?
kumbe umeandika kishabiki ndyo maana unategemea kama mtu n shabik wa simba akukosoeHahaha angalia huyu takataka..#visit Rwanda unafananisha na #visit Tanzania? Visit Rwanda ipo duniani huko ambako ndo walengwa wakuu ..wewe visit Tanzania unamwandikia mmatumbi mwenzako wa Congo, Chad, sijui Guinea hali yao duni bora ya wewe ..ndo maana mikia ni mikia tu haiwezi kuwa kichwa..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hivi unategemea hawa Watz wafanye nini zaidi ya hapo?Nimejiuliza hadi nikakosa jawabu.
Ni kwamba wizara imefanya tathmini yake na kugundua kuwa Idadi ya wageni kutoka nje ya Bara la Afrika inatosha na kuamua kuweka jitihada za kuwatafuta wageni kutoka katika Bara Masikini kama Afrika?
View attachment 1695322
Wa-Thailand wakijitangaza kwenye Bara la Nje. (Visitors Market)
View attachment 1695323
Wanyarwanda wakijitangaza kwenye Bara la Nje (Visitors Market)
View attachment 1695324
Taifa la Malaysia likijitangaza kwenye bara la nje (Visitors Market).
......................................................................................................................................................................
View attachment 1695327
Sasa hapa kwetu tumekuja na mpya hapo juu. Sisi tumeamua kuweka jitihada za kuwaita waafrika wenzetu yaani walio masikini kama sisi waje kuutembelea mlima wa Kilimanjaro.
Ni nani aliyeturoga Watanzania?
Nani anaangalia mpira wa Africa huko ulaya, lazima tuwe wakweli, tafuta number ya watazamaji, Mfano lini uliangalia mpira wa kikapu wa Tz?View attachment 1695505
Ukishakiwa utopolo aimaanishi kuwa na akili zinapungua, hizo ndizo chanel zinazorusha caf champions league hadi ulaya na marekani. Kwa akili yako ya ki-utopolo unafikili ingekuwa haifuatiliwi hizo chanel zingekubali hasara ya kununua TV light?
Luc hakukosea kuwafananisha na nyani na mbwaRage hakukosea kuwaita mbumbumbu
Visit Kimbiji. HaaahaaYanga kweli wote mna akili za kimbiji
Hahaha angalia huyu takataka..#visit Rwanda unafananisha na #visit Tanzania? Visit Rwanda ipo duniani huko ambako ndo walengwa wakuu ..wewe visit Tanzania unamwandikia mmatumbi mwenzako wa Congo, Chad, sijui Guinea hali yao duni bora ya wewe ..ndo maana mikia ni mikia tu haiwezi kuwa kichwa..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hakuna watazamaji wa mpila wa kikapu na ndio maana hakuna station inayolusha. So kwa akili zako una amini hizo station zimenunua tv right wakijua kuwa hakuna anayeangalia? Unajua airtime kwa marekani na ulaya inaghalimu kiasi gani. Hizo ni station ubwa sana kule, usijitoe ufahamuNani anaangalia mpira wa Africa huko ulaya, lazima tuwe wakweli, tafuta number ya watazamaji, Mfano lini uliangalia mpira wa kikapu wa Tz?
Niambie game ya simba vs As vita itaoneshwa kwenye channel zote hizo?? Sitaki kuamini..hapa tutgemee hizi local channels tu azam, startimeView attachment 1700851
Hizo ndio station zilizonunua tv right ya kurusha Africa champions league nchi za ulaya na marekani. Unaamini zimenunua hizo mechi ili wawaonyeshe wakina nani huko?
Eti Stendi ya Mbezi Luis [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alafu wameweka mlima Kilimanjaro, Ni waafrika wachache Sana ndo Wana dream ya kuvisit Kilimanjaro. Bora wangeweka hata picha ya Mbezi Luis bus terminal [emoji16]
Vitu vizuri vya kisasa ndo ushamba wa afrika, mfano sgr, bus terminal, brt, posta pale.. sio Serengeti, ngorongoro, mikumi etc