Nini Mantiki ya kuwatangazia Waafrika Waitembelee Tanzania?

Haya mashindano hata waafrika wenyewe hawayaangalii bali watu hutazama mechi ambazo timu kutoka nchi yao ikiwa inacheza. Mfano hapa bongo huwa tunaangalia mechi ambazo timu kutoka TZ ikicheza na timu ya nchi nyingine hatuangalii mfano Waydad Casablanca vs Esperance, zamalek vs TP Mazambe. Na nchi zingine nao wanaangalia timu yao vs timu ya nchi nyingine hawaangalii Simba vs as vita nk.
Mkuu usifikiri kila mtu Ni Utopolo Kam wewe!
 
Kwani hyo #visit Tanzania itaonwa na waafrica tu
Ni kama visit Rwanda ya arsenal wew umeiona wakat huenda haupo UK
 
Hahaha angalia huyu takataka..#visit Rwanda unafananisha na #visit Tanzania? Visit Rwanda ipo duniani huko ambako ndo walengwa wakuu ..wewe visit Tanzania unamwandikia mmatumbi mwenzako wa Congo, Chad, sijui Guinea hali yao duni bora ya wewe ..ndo maana mikia ni mikia tu haiwezi kuwa kichwa..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Mikia ni mikia tu haiwezi kuwa kichwa hata siku moja
Nimejiuliza hadi nikakosa jawabu.

Ni kwamba wizara imefanya tathmini yake na kugundua kuwa Idadi ya wageni kutoka nje ya Bara la Afrika inatosha na kuamua kuweka jitihada za kuwatafuta wageni kutoka katika Bara Masikini kama Afrika?

View attachment 1695322

Wa-Thailand wakijitangaza kwenye Bara la Nje. (Visitors Market)
View attachment 1695323

Wanyarwanda wakijitangaza kwenye Bara la Nje (Visitors Market)
View attachment 1695324
Taifa la Malaysia likijitangaza kwenye bara la nje (Visitors Market).

......................................................................................................................................................................

View attachment 1695327

Sasa hapa kwetu tumekuja na mpya hapo juu. Sisi tumeamua kuweka jitihada za kuwaita waafrika wenzetu yaani walio masikini kama sisi waje kuutembelea mlima wa Kilimanjaro.

Ni nani aliyeturoga Watanzania?
 
Hahaha angalia huyu takataka..#visit Rwanda unafananisha na #visit Tanzania? Visit Rwanda ipo duniani huko ambako ndo walengwa wakuu ..wewe visit Tanzania unamwandikia mmatumbi mwenzako wa Congo, Chad, sijui Guinea hali yao duni bora ya wewe ..ndo maana mikia ni mikia tu haiwezi kuwa kichwa..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
kumbe umeandika kishabiki ndyo maana unategemea kama mtu n shabik wa simba akukosoe
 
Hivi unategemea hawa Watz wafanye nini zaidi ya hapo?
 
View attachment 1695505
Ukishakiwa utopolo aimaanishi kuwa na akili zinapungua, hizo ndizo chanel zinazorusha caf champions league hadi ulaya na marekani. Kwa akili yako ya ki-utopolo unafikili ingekuwa haifuatiliwi hizo chanel zingekubali hasara ya kununua TV light?
Nani anaangalia mpira wa Africa huko ulaya, lazima tuwe wakweli, tafuta number ya watazamaji, Mfano lini uliangalia mpira wa kikapu wa Tz?
 
Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu
Luc hakukosea kuwafananisha na nyani na mbwa
FB_IMG_1611053199150.jpg
 
Hahaha angalia huyu takataka..#visit Rwanda unafananisha na #visit Tanzania? Visit Rwanda ipo duniani huko ambako ndo walengwa wakuu ..wewe visit Tanzania unamwandikia mmatumbi mwenzako wa Congo, Chad, sijui Guinea hali yao duni bora ya wewe ..ndo maana mikia ni mikia tu haiwezi kuwa kichwa..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Screenshot_20210205-203523_Opera Mini.jpg

Hizo ndio station zilizonunua tv right ya kurusha Africa champions league nchi za ulaya na marekani. Unaamini zimenunua hizo mechi ili wawaonyeshe wakina nani huko?
 
Nani anaangalia mpira wa Africa huko ulaya, lazima tuwe wakweli, tafuta number ya watazamaji, Mfano lini uliangalia mpira wa kikapu wa Tz?
Hakuna watazamaji wa mpila wa kikapu na ndio maana hakuna station inayolusha. So kwa akili zako una amini hizo station zimenunua tv right wakijua kuwa hakuna anayeangalia? Unajua airtime kwa marekani na ulaya inaghalimu kiasi gani. Hizo ni station ubwa sana kule, usijitoe ufahamu
 
View attachment 1700851
Hizo ndio station zilizonunua tv right ya kurusha Africa champions league nchi za ulaya na marekani. Unaamini zimenunua hizo mechi ili wawaonyeshe wakina nani huko?
Niambie game ya simba vs As vita itaoneshwa kwenye channel zote hizo?? Sitaki kuamini..hapa tutgemee hizi local channels tu azam, startime

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Alafu wameweka mlima Kilimanjaro, Ni waafrika wachache Sana ndo Wana dream ya kuvisit Kilimanjaro. Bora wangeweka hata picha ya Mbezi Luis bus terminal [emoji16]

Vitu vizuri vya kisasa ndo ushamba wa afrika, mfano sgr, bus terminal, brt, posta pale.. sio Serengeti, ngorongoro, mikumi etc
Eti Stendi ya Mbezi Luis [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom