Nini Mantiki ya kuwatangazia Waafrika Waitembelee Tanzania?

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Nimejiuliza hadi nikakosa jawabu.

Ni kwamba wizara imefanya tathmini yake na kugundua kuwa Idadi ya wageni kutoka nje ya Bara la Afrika inatosha na kuamua kuweka jitihada za kuwatafuta wageni kutoka katika Bara Masikini kama Afrika?

33.jpeg

Wa-Thailand wakijitangaza kwenye Bara la Nje. (Visitors Market)
22.jpg

Wanyarwanda wakijitangaza kwenye Bara la Nje (Visitors Market)
11.jpg

Taifa la Malaysia likijitangaza kwenye bara la nje (Visitors Market).

......................................................................................................................................................................

44.jpg

Sasa hapa kwetu tumekuja na mpya hapo juu. Sisi tumeamua kuweka jitihada za kuwaita waafrika wenzetu yaani walio masikini kama sisi waje kuutembelea mlima wa Kilimanjaro.

Ni nani aliyeturoga Watanzania?
 
Nimejiuliza hadi nikakosa jawabu.

Ni kwamba wizara imefanya tathmini yake na kugundua kuwa Idadi ya wageni kutoka nje ya Bara la Afrika inatosha na kuamua kuweka jitihada za kuwatafuta wageni kutoka katika Bara Masikini kama Afrika?

View attachment 1695322

Wa-Thailand wakijitangaza kwenye Bara la Nje. (Visitors Market)
View attachment 1695323

Wanyarwanda wakijitangaza kwenye Bara la Nje (Visitors Market)
View attachment 1695324
Taifa la Malaysia likijitangaza kwenye bara la nje (Visitors Market).

......................................................................................................................................................................

View attachment 1695327

Sasa hapa kwetu tumekuja na mpya hapo juu. Sisi tumeamua kuweka jitihada za kuwaita waafrika wenzetu yaani walio masikini kama sisi waje kuutembelea mlima wa Kilimanjaro.

Ni nani aliyeturoga Watanzania?

Yanga kweli wote mna akili za kimbiji
 
Taifa staz ingekua inashiriki kombe la Dunia mdhamini kakaonekana Vodafone na simba klab bigwa Afrika mdhamini wizara hapo swali lako lingekua na mantik.
 
#43
Hapo wamechemka bado Kama utaangalia idadi ya watalii wanaokuja Tanzania wengi ni ngozi nyeupe sisi waafrica kutokana na umasikni wetu pia na kutokua na culture ya kufanya utalii naona kabisa hii idea aitakua na impact yoyote kutokana na ukweli kwamba wanaofatilia michuano hii ni sisi wenyewe waafrica wala tusidanganyane kua wazungu wanafatilia michuano hii licha ya kua itakua live kupitia media kubwa kama supersport .

Sasa hapa kama lengo ni kuwashawishi waafrica wenzetu kuja kutalii Tanzania hapo sawa.

Na pia tusisaau aibu tutayoipata wakati simba atakapopigwa hamsa huku kavaa jezi iliyoandikwa vist Tanzania
 
Asa wewe mbona uko muAfrica ila umeona tangazo kutoka Arsenal?hujawaza kuwa hizo ni match za CAF kwamba kuna media zinaonesha mpaka kufikia nje ya bara la Africa!? Hilo tangazo sio kwa Waafrika tuu
Acha umbumbu kwani ujui ligi ya uingereza ndio ligi inayongozwa kutazamwa na watu wengi duniani
Haya mashindano ya CAF tofauti na Africa uko kwingine hawana Time nayo
 
Screenshot_20210205-203523_Opera Mini.jpg

Ukishakiwa utopolo aimaanishi kuwa na akili zinapungua, hizo ndizo chanel zinazorusha caf champions league hadi ulaya na marekani. Kwa akili yako ya ki-utopolo unafikili ingekuwa haifuatiliwi hizo chanel zingekubali hasara ya kununua TV light?
 
View attachment 1695505

Yaaani Luc hakukosea kuwaita hawa mashabiki wa Utopolo kua wanaropoka tu kama manyani na mambwa, achana nao hawa Nyani fc
 
Kwani tatizo ni tangazo au ni mtangazaji? Naona kama watu wamechukulia personal Tz kujitangaza kupitia Simba
 
Alafu wameweka mlima Kilimanjaro, Ni waafrika wachache Sana ndo Wana dream ya kuvisit Kilimanjaro. Bora wangeweka hata picha ya Mbezi Luis bus terminal [emoji16]

Vitu vizuri vya kisasa ndo ushamba wa afrika, mfano sgr, bus terminal, brt, posta pale.. sio Serengeti, ngorongoro, mikumi etc
 
Mleta mada utakuwa ni mmoja wa watu waliomshawishi luc kutoa ile kauli.........
 
Alafu wameweka mlima Kilimanjaro, Ni waafrika wachache Sana ndo Wana dream ya kuvisit Kilimanjaro. Bora wangeweka hata picha ya Mbezi Luis bus terminal [emoji16]

Vitu vizuri vya kisasa ndo ushamba wa afrika, mfano sgr, bus terminal, brt, posta pale.. sio Serengeti, ngorongoro, mikumi etc
Ubongo mdogo
 
Kwamba misri hakuna sgr au fly overs, mbona uto mnawaza kimwakalebela Mwakalebela....
 
Back
Top Bottom