kocha Nabi
JF-Expert Member
- Feb 1, 2022
- 709
- 1,881
mimi siijui sana siasa ila kwa mwendo huu wa Rais Ruto kuanza kuipinga dora ya marekani na rais Museven kupinga vikali tamaduni za magharibi, naona kabisa kama Hayati Magufuli angekuwa hai, lingepigwa korabo moja ambalo watu wa East Africa tusingekaa tulisahau.
hii inaonesha uthubutu wa kutenda pasi na uoga wowote kwa walioishika dunia.
hii inaonesha uthubutu wa kutenda pasi na uoga wowote kwa walioishika dunia.