Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Zambia hii hii yenye Polisi Wachina?Ni kweli, kuzinduka kwa Mseven sasa hivi hakumaanishi kuwa yupo serious na kile anachofanya, bali ni siasa ndio iliyompa msukumo wa kujifanya na yeye hakubaliani na mabeberu kama Magufuli ili wananchi wake waweze kumchagua katika chaguzi zao zinazokuja.
Kuhusu raisi wa Zambia huyo nakubaliana nae jamaa yuko vizuri na ana wapinzani wanaojitambua na kuelewa kile anachofanya. Tofauti na kwetu.