Nini maoni yako kama kolabo ya Magufuli × Ruto × Museven ingekuwepo?

Acheni upumbavu uyo magufuri alikuwa hakubaliani na mabeberu wapi wkati hao ndo watoa misaada na mikopo na alikuwa anachukua. Alichokfanya n kuhakiksha serikali yake kutokuwa na uwazi mambo akawa anayafanyia gzan akija kwa wananchi anaongea pumba pumba tu.
Rais wa zambia hakuna mahali kasema anapambana na wazungu ila anafanya kaz na wananchi, amejshusha kbs kwa kila ktu hapa mnaandka pumba za muuaji na mtesi magufuri
sio kila mzungu beberu, jua kutofautisha. wapo wazungu wabaya na wazuri vivo hivo kwa watu wehusi.
 
Akili za watanzania zina kasoro nyingi sana, mfano mtoa mada. Ebu fikiria ni wapi nchi za Kenya, Uganda na Tanzania zinaweza tuniana misuli na nchi za magharibi.
Yaani ujinga mtupu...Ruto anajipya gani hapo Kenya inayofanyika na kuimarisha uchumi wa watu wake?

Hapo Uganda kuna jipya gani? Kama ni Ushoga ilikwepo tokea kitambo...ebu fikiria unatunga sheria ya kuwasulubu ushoga alafu unaacha mazingira ya kusababisha ushoga uendelee...AKILI MATOPE?

Unazungumzia Magufuli, kitu gani alikifanya kuonesha anapambana na west au USA? au ulichotwa na siasa uchwara za kuziba watu mdogo then msikie yeye tu.
mnaposhindwa kuelewa waafrika ni mnaendekeza uvyama, laiti mngelijua yaliyo nyuma ya pazia mngemuita shujaa yule rais atakayeweza kuinua mdomo wake hadharani na kuwapinga mabeberu.
 
ukiona umefungiwa kwenye chupa na hunyoshi kidole juu kuonesha kama upo, wewe sio shujaa.
Akili za watanzania zina kasoro nyingi sana, mfano mtoa mada. Ebu fikiria ni wapi nchi za Kenya, Uganda na Tanzania zinaweza tuniana misuli na nchi za magharibi.
Yaani ujinga mtupu...Ruto anajipya gani hapo Kenya inayofanyika na kuimarisha uchumi wa watu wake?
 
mimi siijui sana siasa ila kwa mwendo huu wa Rais Ruto kuanza kuipinga dora ya marekani na rais Museven kupinga vikali tamaduni za magharibi, naona kabisa kama Hayati Magufuli angekuwa hai, lingepigwa korabo moja ambalo watu wa East Africa tusingekaa tulisahau.

hii inaonesha uthubutu wa kutenda pasi na uoga wowote kwa walioishika dunia.
Mmarekani hapingwi, hao wazee wajifunze kwa kilichomtokea jiwe.
 
Usimtajetaje huyu dikteta humu JF. Nitakupiga ban ya maisha.
 
mnaposhindwa kuelewa waafrika ni mnaendekeza uvyama, laiti mngelijua yaliyo nyuma ya pazia mngemuita shujaa yule rais atakayeweza kuinua mdomo wake hadharani na kuwapinga mabeberu.
Hoja siyo kupinga bali hoja ni kutengeneza mazingira kwa wananchi wako wawe na uwezo wa kupinga wote kwa pamoja.
 
mimi siijui sana siasa ila kwa mwendo huu wa Rais Ruto kuanza kuipinga dora ya marekani na rais Museven kupinga vikali tamaduni za magharibi, naona kabisa kama Hayati Magufuli angekuwa hai, lingepigwa korabo moja ambalo watu wa East Africa tusingekaa tulisahau.

hii inaonesha uthubutu wa kutenda pasi na uoga wowote kwa walioishika dunia.
Kwanini tujadili kitu ambacho hakipo wala hakitatokea? Hatutaki mambo ya imagination.
 
Wa
mimi siijui sana siasa ila kwa mwendo huu wa Rais Ruto kuanza kuipinga dora ya marekani na rais Museven kupinga vikali tamaduni za magharibi, naona kabisa kama Hayati Magufuli angekuwa hai, lingepigwa korabo moja ambalo watu wa East Africa tusingekaa tulisahau.

hii inaonesha uthubutu wa kutenda pasi na uoga wowote kwa walioishika dunia.
wangeshughulikiwa tu
 
Akili za watanzania zina kasoro nyingi sana, mfano mtoa mada. Ebu fikiria ni wapi nchi za Kenya, Uganda na Tanzania zinaweza tuniana misuli na nchi za magharibi.
Yaani ujinga mtupu...Ruto anajipya gani hapo Kenya inayofanyika na kuimarisha uchumi wa watu wake?

Hapo Uganda kuna jipya gani? Kama ni Ushoga ilikwepo tokea kitambo...ebu fikiria unatunga sheria ya kuwasulubu ushoga alafu unaacha mazingira ya kusababisha ushoga uendelee...AKILI MATOPE?

Unazungumzia Magufuli, kitu gani alikifanya kuonesha anapambana na west au USA? au ulichotwa na siasa uchwara za kuziba watu mdogo then msikie yeye tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa
 
mnaposhindwa kuelewa waafrika ni mnaendekeza uvyama, laiti mngelijua yaliyo nyuma ya pazia mngemuita shujaa yule rais atakayeweza kuinua mdomo wake hadharani na kuwapinga mabeberu.
Magufuli aliwapinga mabeberu ktk nn? Km issues ya Ushoga, si ndo serikali yake ilimkana makonda kuwa saka saka ya mashoga ni suala lake binafsi na sio msimamo wa serikali.

Tamko lilitolewa kupitia Mahiga akiwa waziri wa mambo ya nje.
 
East Africa isingetetereshwa na mambo ya kipuuzi kutoka kwa wazungu.
 
mimi siijui sana siasa ila kwa mwendo huu wa Rais Ruto kuanza kuipinga dora ya marekani na rais Museven kupinga vikali tamaduni za magharibi, naona kabisa kama Hayati Magufuli angekuwa hai, lingepigwa korabo moja ambalo watu wa East Africa tusingekaa tulisahau.

hii inaonesha uthubutu wa kutenda pasi na uoga wowote kwa walioishika dunia.
JPM mbona alikua ni kinyume cha hayo unayodhani aliyapinga?
 
Bora ungekufa wewe takataka akabaki Magufuli .. maana wewe ni sawa na karatasi la chooni kuchambia kinyesi...
Tukana matusi yote lkn ht wewe mwenyewe wajua lililokufa ni lile shetani lenu la Chato tena kwa kifo cha fedheha
 
mimi siijui sana siasa ila kwa mwendo huu wa Rais Ruto kuanza kuipinga dora ya marekani na rais Museven kupinga vikali tamaduni za magharibi, naona kabisa kama Hayati Magufuli angekuwa hai, lingepigwa korabo moja ambalo watu wa East Africa tusingekaa tulisahau.

hii inaonesha uthubutu wa kutenda pasi na uoga wowote kwa walioishika dunia.
kunakuwaje na kolabo ya mfu na watu walio hai? Nenda Mirembe ukatibiwe
 
Back
Top Bottom