kocha Nabi
JF-Expert Member
- Feb 1, 2022
- 709
- 1,881
Umeleta utoko mezani, patheticUnaonaje babako afe tumfufuwe Magufuli?
haya ni maoni kiongozi punguza chuki kidogo.Unaonaje babako afe tumfufuwe Magufuli?
ila wapo wanaothubutu ambapo tunaona ni nje ya siasa.wanasiasa ni wanasiasa tu
tatizo marais wanaotumiwa ni wengi hata wachache wanaojaribu kuonesha kubadilika wanakosa support.Ongezea na mzee gadaffi angekuwepo bado kule Libya
dadavua kidogo sijakuelewaila wapo wanaothubutu ambapo tunaona ni nje ya siasa.
African ingetisha sanaaa 🔥🔥Ongezea na mzee gadaffi angekuwepo bado kule Libya
Bora ungekufa wewe takataka akabaki Magufuli .. maana wewe ni sawa na karatasi la chooni kuchambia kinyesi...Unaonaje babako afe tumfufuwe Magufuli?
Wote hao ni wanasiasa uchwara . Museveni anapambana na mashoga ilhali wanachi wake hata barabara nzuri hawana!!mimi siijui sana siasa ila kwa mwendo huu wa Rais Ruto kuanza kuipinga dora ya marekani na rais Museven kupinga vikali tamaduni za magharibi, naona kabisa kama Hayati Magufuli angekuwa hai, lingepigwa korabo moja ambalo watu wa East Africa tusingekaa tulisahau.
hii inaonesha uthubutu wa kutenda pasi na uoga wowote kwa walioishika dunia.
Mtoe Museven hapo maana alikuwepo hapo zaidi ya miaka 40 hakuna cha maana alichofanya.mimi siijui sana siasa ila kwa mwendo huu wa Rais Ruto kuanza kuipinga dora ya marekani na rais Museven kupinga vikali tamaduni za magharibi, naona kabisa kama Hayati Magufuli angekuwa hai, lingepigwa korabo moja ambalo watu wa East Africa tusingekaa tulisahau.
hii inaonesha uthubutu wa kutenda pasi na uoga wowote kwa walioishika dunia.
ila kweli Museven kama ndo anazinduka sku hizi. kuna yule rais sijui wa zambia, sijui ni wa malawi ni mtu na nusu.Mtoe Museven hapo maana alikuwepo hapo zaidi ya miaka 40 hakuna cha maana alichofanya.
Labda kwa sasa ndo anajaribu kuonesha watu kwamba na yeye ni Magufuli mungine baada ya mwamba wetu kuwaonesha njia.
Museven anatumia mambo mengi kisiasa ili kuwahadaa watu na wananchi wake waendelee kumchagua miaka mingine 10 ijayo.
sure but kama waafrika tusingekuwa na umoja wa kinafki kuna kubwa lingefanyika.Nguvu ya uchumi ndio kila kitu, tofauti na hapo utapiga kelele huku wao wakijua watakufinyia wapi.
Ni kweli, kuzinduka kwa Mseven sasa hivi hakumaanishi kuwa yupo serious na kile anachofanya, bali ni siasa ndio iliyompa msukumo wa kujifanya na yeye hakubaliani na mabeberu kama Magufuli ili wananchi wake waweze kumchagua katika chaguzi zao zinazokuja.ila kweli Museven kama ndo anazinduka sku hizi. kuna yule rais sijui wa zambia, sijui ni wa malawi ni mtu na nusu.
Acheni upumbavu uyo magufuri alikuwa hakubaliani na mabeberu wapi wkati hao ndo watoa misaada na mikopo na alikuwa anachukua. Alichokfanya n kuhakiksha serikali yake kutokuwa na uwazi mambo akawa anayafanyia gzan akija kwa wananchi anaongea pumba pumba tu.Ni kweli, kuzinduka kwa Mseven sasa hivi hakumaanishi kuwa yupo serious na kile anachofanya, bali ni siasa ndio iliyompa msukumo wa kujifanya na yeye hakubaliani na mabeberu kama Magufuli ili wananchi wake waweze kumchagua katika chaguzi zao zinazokuja.
Kuhusu raisi wa Zambia huyo nakubaliana nae jamaa yuko vizuri na ana wapinzani wanaojitambua na kuelewa kile anachofanya. Tofauti na kwetu.
Kocha Nabi, tutashinda Leo? Tafadhali Sana weka kikosi cha maangamizi leo wananchi tunataka kombe. Kuhusu hiyo collaboration, Muondoe kwanza Ruto.hamna kitu hapo,Ni kweli, kuzinduka kwa Mseven sasa hivi hakumaanishi kuwa yupo serious na kile anachofanya, bali ni siasa ndio iliyompa msukumo wa kujifanya na yeye hakubaliani na mabeberu kama Magufuli ili wananchi wake waweze kumchagua katika chaguzi zao zinazokuja.
Kuhusu raisi wa Zambia huyo nakubaliana nae jamaa yuko vizuri na ana wapinzani wanaojitambua na kuelewa kile anachofanya. Tofauti na kwetu.