Nini maoni yako kama kolabo ya Magufuli × Ruto × Museven ingekuwepo?

sio kila mzungu beberu, jua kutofautisha. wapo wazungu wabaya na wazuri vivo hivo kwa watu wehusi.
 
mnaposhindwa kuelewa waafrika ni mnaendekeza uvyama, laiti mngelijua yaliyo nyuma ya pazia mngemuita shujaa yule rais atakayeweza kuinua mdomo wake hadharani na kuwapinga mabeberu.
 
ukiona umefungiwa kwenye chupa na hunyoshi kidole juu kuonesha kama upo, wewe sio shujaa.
 
Mmarekani hapingwi, hao wazee wajifunze kwa kilichomtokea jiwe.
 
Usimtajetaje huyu dikteta humu JF. Nitakupiga ban ya maisha.
 
mnaposhindwa kuelewa waafrika ni mnaendekeza uvyama, laiti mngelijua yaliyo nyuma ya pazia mngemuita shujaa yule rais atakayeweza kuinua mdomo wake hadharani na kuwapinga mabeberu.
Hoja siyo kupinga bali hoja ni kutengeneza mazingira kwa wananchi wako wawe na uwezo wa kupinga wote kwa pamoja.
 
Kwanini tujadili kitu ambacho hakipo wala hakitatokea? Hatutaki mambo ya imagination.
 
Wa
wangeshughulikiwa tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa
 
mnaposhindwa kuelewa waafrika ni mnaendekeza uvyama, laiti mngelijua yaliyo nyuma ya pazia mngemuita shujaa yule rais atakayeweza kuinua mdomo wake hadharani na kuwapinga mabeberu.
Magufuli aliwapinga mabeberu ktk nn? Km issues ya Ushoga, si ndo serikali yake ilimkana makonda kuwa saka saka ya mashoga ni suala lake binafsi na sio msimamo wa serikali.

Tamko lilitolewa kupitia Mahiga akiwa waziri wa mambo ya nje.
 
East Africa isingetetereshwa na mambo ya kipuuzi kutoka kwa wazungu.
 
JPM mbona alikua ni kinyume cha hayo unayodhani aliyapinga?
 
Bora ungekufa wewe takataka akabaki Magufuli .. maana wewe ni sawa na karatasi la chooni kuchambia kinyesi...
Tukana matusi yote lkn ht wewe mwenyewe wajua lililokufa ni lile shetani lenu la Chato tena kwa kifo cha fedheha
 
kunakuwaje na kolabo ya mfu na watu walio hai? Nenda Mirembe ukatibiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…