Nini maoni yako kama kolabo ya Magufuli × Ruto × Museven ingekuwepo?

Zambia hii hii yenye Polisi Wachina?
 
Museveni na Kagame sio Wajamaa wanekuwepo miaka yote na Uchumi wao unapanda..

Yule wa kwenu alikuwa hamnazo na Itikadi yake ya ujamaa mbuzi ndio maana wafanyabiashara na investors walimkimbia.
 
Museveni na Kagame sio Wajamaa wanekuwepo miaka yote na Uchumi wao unapanda..

Yule wa kwenu alikuwa hamnazo na Itikadi yake ya ujamaa mbuzi ndio maana wafanyabiashara na investors walimkimbia.
hakuna investors mkuu, wengi walikuwa wapigaji **** mda inafika mtu unaona upigaji hadi roho yako inauma. ndio maana jiwe alisema ni heri ikaingia meli moja inayolipa ushuru kuliko meli 100 zisizolipa ushuru.
 
Wangekuwa ni wapigaji usingekuta kwala imejaa,Wala Kiwanda Cha Mbolea Dom Wala biashara kurejerea kama zamani
 
halafu sijatoa hii post kuonesha ushabiki, mimi namkubali mno mama samia kwa kazi anazofanya, ila nimejikita kwenye mambo ya ujasiri wa kiongozi kwenye mambo magumu.
 
Museveni anampeleka puta Biden hadi anaanguka akitembea Kwa kumkatalia upinde
 
Wazungu wanatulazimisha tupandane ili watupe misaada hii ni kuvunja haki za binadam kabisa
 
Tukana matusi yote lkn ht wewe mwenyewe wajua lililokufa ni lile shetani lenu la Chato tena kwa kifo cha fedheha
Chuki yako ni ile ya Magu kumdhulumu mama yako wakati anauza nyapu pale Kimboka..
 
Chuki yako ni ile ya Magu kumdhulumu mama yako wakati anauza nyapu pale Kimboka..
yani africa mtu ukipigania nchi yako unaitwa shetani. yaani wanatuibia wananchi akipatikana wa kuwafinya kelele kibao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…