Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
hili sio sawa ni roho za kimasikini na lack of exposure ndio inatusumbuakuhusu hali ya baadhi ya magereza na baadhi ya vituo vya polisi, ambavyo mahabusu na wafungwa wamekuwa wakijisaidia kwenye ndoo badala ya vyoo rasmi.
-
“Huu utaratibu faida yake ni nini? Au ni sehemu ya adhabu kwa wafungwa? Kuna kiongozi mmoja aliwahi kuzungumzia suala hili mwaka jana akisema jambo hilo lifanyiwe kazi, si sahihi watu kujisaidia kwenye ndoo. Naomba nisaidiwe msingi wa watu kujisaidia kwenye ndoo ni nini? Yaani ilikuwaje ikapangwa hivyo?”
Wankuambia ungetaka usafi ungefata sheriaHuo si ustaarabu na ni hatari kwa afya za watu mahabusu kujisaidia kwenye ndoo. Ni bora kila kituo cha polisi kinachoshikila watu kwa tuhuma kiwe na choo safi humo ndani kwa ajili ya mahabusu. Tena waweke na vitanda vyenye neti kuzuia mbu, utu na haki za binadamu zifuatwe
Ni sehemu ya adhabukuhusu hali ya baadhi ya magereza na baadhi ya vituo vya polisi, ambavyo mahabusu na wafungwa wamekuwa wakijisaidia kwenye ndoo badala ya vyoo rasmi.
-
“Huu utaratibu faida yake ni nini? Au ni sehemu ya adhabu kwa wafungwa? Kuna kiongozi mmoja aliwahi kuzungumzia suala hili mwaka jana akisema jambo hilo lifanyiwe kazi, si sahihi watu kujisaidia kwenye ndoo. Naomba nisaidiwe msingi wa watu kujisaidia kwenye ndoo ni nini? Yaani ilikuwaje ikapangwa hivyo?”
Tanzania wanasema mtuhumiwa hana haki , ndio maana yule boda alistahiri kushikwa vile kwa matofali na magumi juuSijui kwanini wabunge huwa hawapigii kelele mambo kama haya yanayomgusa kila Mtanzania wa chini. Hii pia ni kete nzuri mno kwa wapinzani ila hawaitumii vizuri. Sijajua kwanini.