Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
kuhusu hali ya baadhi ya magereza na baadhi ya vituo vya polisi, ambavyo mahabusu na wafungwa wamekuwa wakijisaidia kwenye ndoo badala ya vyoo rasmi.
-
“Huu utaratibu faida yake ni nini? Au ni sehemu ya adhabu kwa wafungwa? Kuna kiongozi mmoja aliwahi kuzungumzia suala hili mwaka jana akisema jambo hilo lifanyiwe kazi, si sahihi watu kujisaidia kwenye ndoo. Naomba nisaidiwe msingi wa watu kujisaidia kwenye ndoo ni nini? Yaani ilikuwaje ikapangwa hivyo?”