Nini na nani yuko nyuma ya mshana jr?

Utaiona mpya kwa sababu inaandika na kukoment penye umuhimu

Kijana achana na hi I thread naona iko juu ya uwezo wako Wa kufikiri.
 
Akili yangu kubwa ndiyo inayokufanya we we mwenye akili ndogo ucnielewe. So I give you more time to update your reasoning capacity.

Ndugu yangu watu wenye akili kubwa hua hawana muda wa kufuatilia watu wako bize na mambo ambayo ni more productive na inspirational kwa wengine ,ujuvi mwingi kumbe chenga tu.
 
Punguza jaziba ndugu andika taratibu ueleweke!.
 
Ndugu yangu watu wenye akili kubwa hua hawana muda wa kufuatilia watu wako bize na mambo ambayo ni more productive na inspirational kwa wengine ,ujuvi mwingi kumbe chenga tu.
IQ yako iko below normal ndiyo maana hata unachokiandika hakieleweki.
 
Nawewe umetumwa na Nani?
 
Huyu jamaa huwa anajifanya Mganga mganga,
So, kuongelea hayo mambo ya Mashetani sanaaa huwa ni kama anajitangaza ili kupata wateja zaidi..Si unajua biashara ni matangazo..
 
Huyu jamaa huwa anajifanya Mganga mganga,
So, kuongelea hayo mambo ya Mashetani sanaaa huwa ni kama anajitangaza ili kupata wateja zaidi..Si unajua biashara ni matangazo..

Wewe ni msome unajibu kistaarabu asante kwa kutujuza.
 
Nawewe nani yupo nyuma yako? Nani amekutumaa uje uanzishe Uzi...!! Hey mshana njoo wape chembe, wamekinukisha eti!!
 
Mleta mada anaonekana Ana tabia ya umbea na ushambenga kufuatilia maisha ya watu.
 
1.Kwan ww umetumwa na nan kufatilia maisha na interest za MTU???
2.Unapata faida gn ukimchafua???
3.Lengo ni nn hasa???
4.Unalipwa na nan pia???
5.Kwann umetumia muda mwing kumfatilia mwenzako????
 
Ndugu sijiiti mshana jr hilo ndilo jina langu halisi mengine utajibiwa na wengine
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…