MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,093
- 7,229
Due! Kuna watoto wamemaliza mtihani Wa kidato cha pili hapa mawazo yao yanamuwaza nyoso tu!
Tena nyosso angekumbana na wewe angekupiga chubwa
hapo kati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Due! Kuna watoto wamemaliza mtihani Wa kidato cha pili hapa mawazo yao yanamuwaza nyoso tu!
Akili yangu kubwa ndiyo inayokufanya we we mwenye akili ndogo ucnielewe. So I give you more time to update your reasoning capacity.
Wewe unaejita jembe umekosa utashi mana mashwali yote nimazuri so kwann we unapanik kama ww unajua mjibie Mshana sikusema asijibu namshana kwaninavyo kujua nakoment zako namin utajibu nasikumfuata uyo mfinyu wamawazo labda niongezee kidogo unaweza juakitu ambacho ukifanyi kwakujifunza kwanae Fanya sasa weweje?
IQ yako iko below normal ndiyo maana hata unachokiandika hakieleweki.Ndugu yangu watu wenye akili kubwa hua hawana muda wa kufuatilia watu wako bize na mambo ambayo ni more productive na inspirational kwa wengine ,ujuvi mwingi kumbe chenga tu.
Huyu Jamaa anayejiita mshana humu ndani amekuwa akitumia muda mwingi kuandika na kujibu comment za watu kuhusu mambo ya uganga, uchawi , ushetani na mambo ya kuzimu. Maswali yangu ni haya: 1.Nani anayemtuma?
2. Analipwa na nani?
3.Kwa mini anatimia muda mwingi kuandika haya?
4. Je siyo mmoja Wa waabudu shetani?
5. Lengo lake ni nini?
Naomba hoja zenu wana jf na yeye mshana Jr atajibu maswali haya na hoja zenu.
Wewe ni mzigo sana!
Wewe ni msome unajibu kistaarabu asante kwa kutujuza.