Kama we unaona hilo ni tatizo kwa nini unasoma threads zake? Si upite kwengine ukasome.
Tena umwache habiby wangu usijetaka kumhusudu.
Huyu jamaa huwa anajifanya Mganga mganga,
So, kuongelea hayo mambo ya Mashetani sanaaa huwa ni kama anajitangaza ili kupata wateja zaidi..Si unajua biashara ni matangazo..
mshana jr mfanye msukule kabisa hichi kibint..kimeingia anga zako..teh teh
Huyu Jamaa anayejiita mshana humu ndani amekuwa akitumia muda mwingi kuandika na kujibu comment za watu kuhusu mambo ya uganga, uchawi , ushetani na mambo ya kuzimu. Maswali yangu ni haya: 1.Nani anayemtuma?
2. Analipwa na nani?
3.Kwa mini anatimia muda mwingi kuandika haya?
4. Je siyo mmoja Wa waabudu shetani?
5. Lengo lake ni nini?
Naomba hoja zenu wana jf na yeye mshana Jr atajibu maswali haya na hoja zenu.
Loh kumbe mchumba hahahaaaa
Wacha weee
Kama hiyo avatar ni yako basi Mungu fundi kisha ana upendeleo
Utachora senta leo jioni!
Amazing...! Jf is the home of GT