Nini na nani yuko nyuma ya mshana jr?

Nini na nani yuko nyuma ya mshana jr?

Kama we unaona hilo ni tatizo kwa nini unasoma threads zake? Si upite kwengine ukasome.

Tena umwache habiby wangu usijetaka kumhusudu.

Loving wife kwenye maisha lazima awepo wa kukuchukia ili uweze kusonga mbele kumbuka tulikotoka...tusingekuwa na hekima leo hii tungeongea mengine! !! Jf ni familia kubwa kuna kila tabia humu twende nao mdogomdogo
 
Huyu jamaa huwa anajifanya Mganga mganga,
So, kuongelea hayo mambo ya Mashetani sanaaa huwa ni kama anajitangaza ili kupata wateja zaidi..Si unajua biashara ni matangazo..

Usingechangia hii mada ningehama JF
 
Maswali yote yale mshanajr amekuja na majibu kama ya lowassa,simple sana.
 
Last edited by a moderator:
Nyuma ya mshana Jr kuna wengi sana nionavyo mm full wapambe Kila endelea na thread zako baba tunafatilia kama ni mauchawi wacha tu tuchawike
 
mshana jr mfanye msukule kabisa hichi kibint..kimeingia anga zako..teh teh
 
Mkuu mshana jr huwa najiuliza kwanini Toyota waliifanya Mark X itembee mwisho spidi 180 inashindwa hata na kiCelica??
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mshana jr huwa najiuliza kwanini Toyota waliifanya Mark X itembee mwisho spidi 180 inashindwa hata na kiCelica??

Hii twende kule lakini wajep gari zao nyingi wameset hiyo limit tofauti na wazungu
 
Last edited by a moderator:
Huyu Jamaa anayejiita mshana humu ndani amekuwa akitumia muda mwingi kuandika na kujibu comment za watu kuhusu mambo ya uganga, uchawi , ushetani na mambo ya kuzimu. Maswali yangu ni haya: 1.Nani anayemtuma?
2. Analipwa na nani?
3.Kwa mini anatimia muda mwingi kuandika haya?
4. Je siyo mmoja Wa waabudu shetani?
5. Lengo lake ni nini?

Naomba hoja zenu wana jf na yeye mshana Jr atajibu maswali haya na hoja zenu.

Kama hiyo avatar ni yako basi Mungu fundi kisha ana upendeleo
 
Wacha weee

🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙊🙊🙊🙊😂😂😂😂💃💃💃💃💃💃
 
Back
Top Bottom