Nini na nani yuko nyuma ya mshana jr?

Nini na nani yuko nyuma ya mshana jr?

Kama una akili kubwa kwanini utumie muda mwingi kumfuatilia mtu na ujiulize yote nayo juu yake ?umbea kwa mtoto wa kiume mbaya..

Akili yangu kubwa ndiyo inayokufanya we we mwenye akili ndogo ucnielewe. So I give you more time to update your reasoning capacity.
 
Usiogope mkuu...ni ufuatiliaji tu wa mambo..dunia imekua kama kijiji...ukiitafuta elimu utaipata...
 
Wewe unaejita jembe umekosa utashi mana mashwali yote nimazuri so kwann we unapanik kama ww unajua mjibie Mshana sikusema asijibu namshana kwaninavyo kujua nakoment zako namin utajibu nasikumfuata uyo mfinyu wamawazo labda niongezee kidogo unaweza juakitu ambacho ukifanyi kwakujifunza kwanae Fanya sasa weweje?
 
We unalako kama nihivyo basi kusiwe na jf kama wakereketwa wajukwaa husika mnawaita wanga na wewe basi tukuite mnafiki au lofa
 
Huyo jamaa ni mshirikina kabisa..
 
Mimi hapa ndio nipo nyuma yake...........namtuma kila kitu........

halafu mbona anachoandika mshana jr ni general knowledge tu.........kama ni mtu wa kutaka kujua mambo tofauti tofauti........anachoandika ni cha kawaida kabisa..........sijui kwa nini hatupendi kujifunza.........

Mshana jr. la mentali hilooooooooooooooooo. sio ya kawaida yanamsisimua mwenzio Preta
 
Last edited by a moderator:
Huyu Jamaa anayejiita mshana humu ndani amekuwa akitumia muda mwingi kuandika na kujibu comment za watu kuhusu mambo ya uganga, uchawi , ushetani na mambo ya kuzimu. Maswali yangu ni haya: 1.Nani anayemtuma?
2. Analipwa na nani?
3.Kwa mini anatimia muda mwingi kuandika haya?
4. Je siyo mmoja Wa waabudu shetani?
5. Lengo lake ni nini?

Naomba hoja zenu wana jf na yeye mshana Jr atajibu maswali haya na hoja zenu.

Vipi mbona hujaulza hao wanaouliza maswali wametumwa na nani?
 
Due! Kuna watoto wamemaliza mtihani Wa kidato cha pili hapa mawazo yao yanamuwaza nyoso tu!
 
Huyu Jamaa anayejiita mshana humu ndani amekuwa akitumia muda mwingi kuandika na kujibu comment za watu kuhusu mambo ya uganga, uchawi , ushetani na mambo ya kuzimu. Maswali yangu ni haya: 1.Nani anayemtuma?
2. Analipwa na nani?
3.Kwa mini anatimia muda mwingi kuandika haya?
4. Je siyo mmoja Wa waabudu shetani?
5. Lengo lake ni nini?

Naomba hoja zenu wana jf na yeye mshana Jr atajibu maswali haya na hoja zenu.

Ndugu nikuambie kitu humu ndani naamini kuna viumbe wa ajabu sana ila kwa macho twawaona ni watu kumbe ni pepo wanatafuta wafuasi wapo kila mahala na kamfano kadogo tu nenda kwenye jukwaa la Dini uone kama lilishawahi kutumika hata siku moja ndio utaelewa namaanisha nini Mungu atunusuru na hili .
 
Kulitambua hili linaitaji akili nashukuru kwa kufikiri vizuri.
 
Back
Top Bottom