Habari, naomba kujua cha kufanya
Baada ya kushinda rufaa tume ya utumishi na kuamuru kurudishwa kazini.
natakiwa kwenda ku report kazini au mpaka mwajiri anipe barua ya kurudi kazini.]
Nenda kwa huyo mwajiri wako aliyekufukuzisha hiyo kazi ukamuambie umerudi kazini, huku ukiwa na hivyo vielelezo vyako vya kushinda rufaa! Halafu umsikie atasemaje.