Nini natakiwa kufanya baada ya kushinda rufaa ya kufukuzwa kazi na muajiri iliyotolewa naTume ya Utumishi ?

Nini natakiwa kufanya baada ya kushinda rufaa ya kufukuzwa kazi na muajiri iliyotolewa naTume ya Utumishi ?

mjusi kafili

Member
Joined
Aug 3, 2017
Posts
19
Reaction score
15
Habari, naomba kujua cha kufanya
Baada ya kushinda rufaa tume ya utumishi na kuamuru kurudishwa kazini.
natakiwa kwenda ku report kazini au mpaka mwajiri anipe barua ya kurudi kazini.]
 
Nenda kwa huyo mwajiri wako aliyekufukuzisha hiyo kazi ukamuambie umerudi kazini, huku ukiwa na hivyo vielelezo vyako vya kushinda rufaa! Halafu umsikie atasemaje.
 
Back
Top Bottom