Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Futa wazo la kuipata. Mimi niliripoti polisi nikatakiwa nilipe 50,000 eti kwa ajili ya kuitrack. Miezi 3 ikapita kimya. Nilipoenda kukumbushia nikaambiwa haijapatikana na 50,000 yangu wamekula. Mpaka leo miaka 2 nilishakata tamaa!!Daaah kwamba hii ndio bas haiwezekan kbs kuipata?
Hio ni app IPO play store unaiunga na Simu yako yaan huyo Mwizi hata akajifiche kwenye shimo la wapi location inasoma mbaya sasa unaweza ukaitumia Simu akiwa nayo yaan unaweza ukaipiga lock asiweze kuitumia kabisa na unaweza ukaitumia akiwa nayo na unaweza ukampiga picha bila yeye kupenda kiufupi inafanya vingi km ukiibiwa Simu Ila Ina segment zingine za kulipia ukitaka ku-upgradeTufundishe Tecno yangu naipenda sana aisee
Kunarafikiyngu karibia nae juz kwenye daladala jamaa nimechat nae ananijibu bila wasiwasi 😃😃😃
Sas nachouliza mim.Futa wazo la kuipata. Mimi niliripoti polisi nikatakiwa nilipe 50,000 eti kwa ajili ya kuitrack. Miezi 3 ikapita kimya. Nilipoenda kukumbushia nikaambiwa haijapatikana na 50,000 yangu wamekula. Mpaka leo miaka 2 nilishakata tamaa!!
Wanaweza fungua na kutoa vifaa ila hawawezi kubadili IMEI namba ya simu, hivyo akikomaa kuisaka ataipata tu hata kama ni mwakani.Kanunue simu mpya
Usipoteze muda endelea na shughuli zako
Imeshafunguliwa hiyo na vifaa vyote vimeuzwa kama spare
Daaah hyo mzur,inaitwaje hyo kaka.Hio ni app IPO play store unaiunga na Simu yako yaan huyo Mwizi hata akajifiche kwenye shimo la wapi location inasoma mbaya sasa unaweza ukaitumia Simu akiwa nayo yaan unaweza ukaipiga lock asiweze kuitumia kabisa na unaweza ukaitumia akiwa nayo na unaweza ukampiga picha bila yeye kupenda kiufupi inafanya vingi km ukiibiwa Simu Ila Ina segment zingine za kulipia ukitaka ku-upgrade
Bila wasalama sio sawa. Huwezi jua jamaa ni mbabe kiasi gani. Asije akakudhuruSas nachouliza mim.
Sim naiona kwa location hata nikiweka direction inanionesha njia had kuifikia. Nikienda bila kupitia police huko nitakuw sawa kwel?
GlympseDaaah hyo mzur,inaitwaje hyo kaka.
Kama unaijua IMEI ya simu yako ni rahisi sana kuipata mwizi hata aweke Sim card mpya mitandao yote ya simu huwa inajua ni simu aina gani hivyo ikiwa umeripoti kwa kitengo cha cyber watamjua mwizi ni nani.Vyote navijua kaka had imei
Ni tz pekee ukiwa na shida ni lazima upitie shida zingine ili upate suluhu ya shida, yaani unapigwa kote koteKaenda polisi kaambiwa mchakato wake mrefu sana. Mpk aende sjuw tcra akapate location ambayo inagarim 50000 elfu,hlf aende kituoni atoe hela ya mafuta ndio wakaitafute,kwa mujbu wa maelezo alopewa. Sas hapo wakanichanganya kbs