Nini Sababu: Mume amehama ghafla na kwenda kupanga bila ugomvi wala maelezo yoyote

Kuepusha kuchomana na magunia ya mkaa it's better kukaa pembeni. Wanaume wengi sasa hivi wakiona kuna dalili ya kupotezana uhai wanaondoka na kwenda kupanga. Hii hali ipo sana sasa hivi. Huenda mwanamke kuna jambo amefanya la hatari au alikuwa katika mission na jamaa kajua hajataka malumbano kamuachia mji akae na watoto na kuhudumia kila kitu.

Usilazimishe kumpeleka jamaa kwenye moto. Mpe muda
 
Pole sana kwa wote wawili.kama siyo mambo ya kishirikina yamehusika basi inawezekana jamaa amejithibitishia kwamba akiendelea kuisha hapo nyumbani anakitafuta kifo au jela. Kuna kisa kimoja kilinishangaza kidogo.

SOMA HIKI KISA
Kuna jamaa alifiwa na mke wake akaoa mke mwingine harakaharaka mpaka kila mtu alishangaa.kumbe yule mwanamke alimpumbaza jamaa kwa ushirikina.akaamua kumuoa bila kujitambua.baada ya kuishi miaka kama 4, Jamaa ndiyo anakuja kuanza kushangaa kwamba huyo mwanamke ni nani na anafanya nini chumbani kwake. At first watu walidhani amerukwa na akili,baadaye wakajithibitishia kwamba yuko sawa.ndiyo ikagundulika huyo mwanamke alimpiga upofu jamaa. So wakaseperate kwa cost kubwa. Na huyo alimuoa kwa ndoa kabisa ya kanisani iliyotanguliwa na vikao vya maandalizi ya harusi
 
Hayo mambo ya kushauriana shauriana hayo ndio wengine hawapendi.
Kwanin mtu asiwe na akili tu mpaka ashauriwe.
Ukiona mtu anabadilika kisa kashauriwa vizuri bas usishangae siku aka change kisa kashauriwa vibaya. Hayo wanaume hatupendi kabisaa
🤣😂🤣😂👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
Your browser is not able to display this video.
 
Hili suala lifanyiwe uchunguzi wa kina. Inawezekana mkuu DeepPond yupo nyuma ya msala huu. Na hiyo kuzuga kuwa eti mke anaumwa inawezekana ni kisingizio tu cha kujisogeza karibu na huduma ya kijamii
Lisemwalo lipo.
Lisemalo lipo,. Kama halipo basi linakuja😄
 
Maisha yana mengi, ila taabu tupu....
 
Wachungaji waliofungisha ndoa walishindwaje kuona kuwa jamaa karogwa?
 
Hayo mambo ya kushauriana shauriana hayo ndio wengine hawapendi.
Kwanin mtu asiwe na akili tu mpaka ashauriwe.
Ukiona mtu anabadilika kisa kashauriwa vizuri bas usishangae siku aka change kisa kashauriwa vibaya. Hayo wanaume hatupendi kabisaa
Unajua Mkuu nimetoka kusoma Uzi wako Halafu Nakutana na hii comment. JF haiishi vituko 😂
 
Kila siku nausoma bila kutoa neno langu leo ngoja nianze maan nmefikiria Kwa mda sas

*Kwanza jua kuwa wanawake wapo kwaajir ya kukutuliza unapo changanyikiwa

*Alafu wapo kwaajir kukuchanya unapokuwa umetuliwa

Hapo huenda Mzee kaona Bora akapumzishe kichwa Kwa muda usiojulukana ingawa wanawake huwa wanasifa ya kukimbilia Kwa wazeee na ustawi wa jamii ila mara ndyo hukutana na hatua ila sis tunaona sio tatizo acha tulee watoto
 
Inawezekana jamaa kagundua mahusiano ya Siri na mwanaume mwingine na hajataka kumwambia mke wake au katika tendo la ndoa mwanamke inawezekana alitamka neno ambalo lilimfedhehesha mshkaji (mume).
Kati ya hizo sababu mbili zinategemeana na ndio ukweli wenyewe ambao unaharibu mahusiano ya ndoa nyingi saana hasa zisizo na sababu za wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…