Nini sababu ya baadhi ya watu kungonoka na wazazi wao?

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
630
Reaction score
1,262
Hii dunia ina vitimbwi vya ajabu sana, huwezi amini kuwa kuna watu wameshawahi kungonoka na wazazi wao. Je nini sababu kubwa? Je anaeshawishi mwingine ni yupi kati ya mtoto ama mzazi?

Mimi binafsi nimekutana na binti mmoja kazini akiwa na majonzi na msongo wa mawazo na anatamani kujiua sababu kubwa kanieleza alijikuta kangonoka na baba yake mzazi.
 
Hii dunia ina vitimbwi vya ajabu sana, huwezi amini kuwa kuna watu wameshawahi kungonoka na wazazi wao. Je nini sababu kubwa?
Je anaeshawishi mwingine ni yupi kati ya mtoto ama mzazi?

...Huyo hukuumuliza Nani alimshawishiwingine, kati ya yeye na Baba yake? Au Baba yake alimbaka??... Ungeanzia Hapo kwanza....
 
Alikuwa na majonzi makubwa na mhanga wa saikolojia, mtu kama huyo huwezi kumpeleleza sana kwasababu ana maumivu makali sana
 
Hii dunia ina vitimbwi vya ajabu sana, huwezi amini kuwa kuna watu wameshawahi kungonoka na wazazi wao. Je nini sababu kubwa?
Je anaeshawishi mwingine ni yupi kati ya mtoto ama mzazi?
Mimi binafsi nimekutana na binti mmoja kazini akiwa na majonzi na msongo wa mawazo na anatamani kujiua sababu kubwa kanieleza alijikuta kangonoka na baba yake mzazi.
Dunia tu imeisha,
Baba anaona Binti aliemkuza mwenyewe aende akaliwe na mtu mwengine na yeye yuko, kwani haipiti ? mwishowe anakula mzigo.
 
Nyege mbaya sana mkuu,

Hasa sisi Wanaume ndo kabsaa,
Mwanamke akikaa kdg vibaya, mnara unasoma.Haijalishi mna undugu Kias gani

Baada ya tukio ndo majuto hufata,
Ndo maana Huwa nawaasa Sana mabinti zangu kila mara wavae nguo za staha popote walipo.
 
Hujawai kujiuliza wale Wanawake vichaa barabarani wanapewa mimba na kina Nani?

Hivi unadhan Ni vichaa wenzao ndo huwafanya? au Wanaume wazima wenye akili zao timamu.

Kichwa chini kikishasimama hakina mswalia mtume mkuu, Ni mungu TU aingilie kati[emoji22]
 
Chanzo nadhan ule uzungu uzungu mwingi wa skuhizi,

1. Mtoto chuchu saa 6, wanaenda movie na mshua. Akipitiwa usngz anamkumbatia na kumalia baba yake kifuani

2. Mtoto na baba wanaenda vacation hotel za kisasa,Wanaogelea wanaenjoy na binti kavaa bikini n.k

3. Mtoto mwanafunzi shule za kisasa,
sare ya shule Ni kimini na shule anapelekwa/kufatwa na baba ake,Akikaa passeenger seat mapaja yote wazi.

4. Mtoto anashinda nyumban kavaa vile vikaptula au kanga Mmoja tu huku na kule kwnyw shughuli za nyumbn, mshua kakaa seblen anaangalia habar binti anakatiza vishawish kibao
 
Uzungu mwingi na ngozi nyeusi hii ni shida
 
Ni kweli. Hapo hapo shetani naye anachombeza cheki chombo hicho kilivyo kizuri. Kama hakuna hofu ya Mungu unakuta baba anafanya yake.

Mara nyingi ni baba na binti yake wala siyo mama na kijana wake.
 
Chanzo nadhan ule uzungu uzungu mwingi wa skuhizi,

1. Mtoto chuchu saa 6, wanaenda movie na mshua. Akipitiwa usngz anamkumbatia na kumalia baba yake kifuani

2. Mtoto na baba wanaenda vacation hotel za kisasa,Wanaogelea wanaenjoy na binti kavaa bikini n.k

3. Mtoto mwanafunzi shule za kisasa,
sare ya shule Ni kimini na shule anapelekwa/kufatwa na baba ake,Akikaa passeenger seat mapaja yote wazi.

4. Mtoto anashinda nyumban kavaa vile vikaptula au kanga Mmoja tu huku na kule kwnyw shughuli za nyumbn, mshua kakaa seblen anaangalia habar binti anakatiza vishawish kibao
Hata matumizi ya pornography huchochea sana huo ujinga.

Pia kizazi chetu hiki hakina hata mshipa wa aibu.

Kuna Binti mmoja miaka 30 rafiki yake na shemeji yangu(Ke) anadai huwa ananunuliwa pedi na Baba yake mzazi, ebu shangaa na wewe.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mbaba huku kwetu anakwambia binti yangu mzuri hivi harafu aende akazinduliwe na watu wengine sio kweli [emoji849][emoji849]hapo huyo mwanae YUKO la nne sahiv SASA sijui amesalimika huyo mtoto
Wababa wa hivi siku hizi ni wengi, akina mama wawe makini sana na binti zao. Wengine hujiingiza huko kwasababu ya maagano ya kichawi hasa utajiri.
 
Yaana Mungu atusaidie kwakweli
Kabisa mkuu. Mambo yanaenda ndivyo sivyo siku hizi. Ni kumjenga mtoto tangu akiwa mdogo ili kuweka mipaka kati yake na jinsia zote, awe wa kike au wa kiume. Maombi,sala n dua nayo ni muhimu kwa kila aaminiye
 
Back
Top Bottom