Nini sababu ya baadhi ya watu kungonoka na wazazi wao?

Nini sababu ya baadhi ya watu kungonoka na wazazi wao?

Kabisa mkuu. Mambo yanaenda ndivyo sivyo siku hizi. Ni kumjenga mtoto tangu akiwa mdogo ili kuweka mipaka kati yake na jinsia zote, awe wa kike au wa kiume. Maombi,sala n dua nayo ni muhimu kwa kila aaminiye
Swadakta
 
Nina brother wangu mmoja alikuwa ana date na demu mmoja,huyo demu wake ana rafiki yake kaumbika huyo bonge la figure, baba yake Engineer ana kampuni yake ya ujenzi, huyo mzee alikuwa anamla mwanae alimnunulia mpaka gari (Prado)hataki kusumbuliwa sumbuliwa akiwa njiani.

Brother ilikuwa bado kidogo amle.Mzee wake anamchunga kishenzi kwa aibu mke wake alihama akamwachia nyumba yupo yy na mtoto wake.
 
Chanzo nadhan ule uzungu uzungu mwingi wa skuhizi,

1. Mtoto chuchu saa 6, wanaenda movie na mshua. Akipitiwa usngz anamkumbatia na kumalia baba yake kifuani

2. Mtoto na baba wanaenda vacation hotel za kisasa,Wanaogelea wanaenjoy na binti kavaa bikini n.k

3. Mtoto mwanafunzi shule za kisasa,
sare ya shule Ni kimini na shule anapelekwa/kufatwa na baba ake,Akikaa passeenger seat mapaja yote wazi.

4. Mtoto anashinda nyumban kavaa vile vikaptula au kanga Mmoja tu huku na kule kwnyw shughuli za nyumbn, mshua kakaa seblen anaangalia habar binti anakatiza vishawish kibao
Hata kama....unasimamisha uume kwa mwanao? Mbona haiingii akilini!
 
Hata matumizi ya pornography huchochea sana huo ujinga.

Pia kizazi chetu hiki hakina hata mshipa wa aibu.

Kuna Binti mmoja miaka 30 rafiki yake na shemeji yangu(Ke) anadai huwa ananunuliwa pedi na Baba yake mzazi, ebu shangaa na wewe.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
inafikirisha tuache ishu nyingine wafanye wao na mama zao
unakuta faza anamnunulia mwanae chupi ambayo kuingalia tu kunamtoa mwanaume kwenye rel
 
Wanaume ndio tunaongoza kwa ujinga na ushenzi. Mbona wamama hawanaga huo ujinga?
 
  • Thanks
Reactions: nao
Back
Top Bottom