Nini sababu ya baadhi ya watu kungonoka na wazazi wao?

Nini sababu ya baadhi ya watu kungonoka na wazazi wao?

Dunia tu imeisha,
Baba anaona Binti aliemkuza mwenyewe aende akaliwe na mtu mwengine na yeye yuko, kwani haipiti ? mwishowe anakula mzigo.
Ila jamani unaweza pata mtoto wa kike mrembo aisee mwenyewe baba ukiangalia unaona son inlaw atafaidi sana
 
Nina brother wangu mmoja alikuwa ana date na demu mmoja,huyo demu wake ana rafiki yake kaumbika huyo bonge la figure, baba yake Engineer ana kampuni yake ya ujenzi, huyo mzee alikuwa anamla mwanae alimnunulia mpaka gari (Prado)hataki kusumbuliwa sumbuliwa akiwa njiani.

Brother ilikuwa bado kidogo amle.Mzee wake anamchunga kishenzi kwa aibu mke wake alihama akamwachia nyumba yupo yy na mtoto wake.
mkuu mimi nna jamaa yangu kazaa na binti flani ila taarifa mtaani zinasema mtoto sio wa jamaa ila wa mzee wake

ila binti na nduguze wanakomaa jamaa kuhudumia ukija mtaani fununu zinasema mtoto ni wa dingi

jamaa kahudumia mwanzoni badae kajikata anasubiri kuona mtoto akikua anafananaje
 
Nyege mbaya sana mkuu,

Hasa sisi Wanaume ndo kabsaa,
Mwanamke akikaa kdg vibaya, mnara unasoma.Haijalishi mna undugu Kias gani

Baada ya tukio ndo majuto hufata,
Ndo maana Huwa nawaasa Sana mabinti zangu kila mara wavae nguo za staha popote walipo.
Kihisia tunatofautiana, binafsi siwezi kumtamani ndugu yangu...kwa kifupi ni kinyaa na laana kutembea na nduguzo
 
alafu kuna kabila flani wana hii tabia Mabwege sana
 
Ukichunguza mahusiano ya baba na binti yake nenda kakague vema kiundani unakuta mzee alishajua kuwa alibambikiwa mtoto sio damu yake.

Akaona isiwe shida nitalala nae halafu watu watamhoji mama mtu imekuwaje baba na mtoto wanafanya yao. Ni aibu kubwa sana kwa mwanamke na mwanaume pia. Ila kwasababu mama kaamua kuharibu tokea mwanzo then baba anamalizia.

Hii kesi ya namna hii niliiona. Kuna mama alimbambikia ujauzito mwanaume wake enzi hizo za ujana mtoto wa kwanza ni wa kike. Watoto waliofuata ukiwatazama wanafanana na baba yao ila binti hafanani na baba ana fanana na mama. Na ni mzuri balaa.

Mzee na mkewe walipata watoto watatu, wawili na huyu mama moja wa kwanza ndie yule ambaye mzee alikuja gundua si damu yake.

Akaanza kuruka nae kumbe tokea muda mrefu. Maana mama mtu alianza mahusiano na mwanaume wake wa nje sababu baba mtu alikuwa na michepuko. Kilichofuata ni kufanyiana vituko ndipo mzee akaona amkomeshe mkewe kwa kuanza mahusiano na binti yake. Na binti akaanza ligi na mama yake akapangishiwa nyumba mzee akaondoka kabisa akamuacha mama na watoto wake wa kiume wawili.

Ugomvi ukaja kujulikana baadae kuwa mama mtu alibeba ujauzito wa mtu mwingine na si wa huyu baba watoto wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Gardner na binti yake yale malezi huwa siyaelewi kabisa. Baba anamshika shika binti yake kiuno anampapasa. Yaani huwa naona noma na mshangao mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii dunia ina vitimbwi vya ajabu sana, huwezi amini kuwa kuna watu wameshawahi kungonoka na wazazi wao. Je nini sababu kubwa? Je anaeshawishi mwingine ni yupi kati ya mtoto ama mzazi?

Mimi binafsi nimekutana na binti mmoja kazini akiwa na majonzi na msongo wa mawazo na anatamani kujiua sababu kubwa kanieleza alijikuta kangonoka na baba yake mzazi.
Lengo la thread yako ni nini mkuu? Maana it’s like umeishia hewan 50% kwenye kile ulitaka tujadili
 
Ni ushetani wa kiwango cha rami hakuna visingizio
 
Back
Top Bottom