Mkuu nimeiwasha sasa hivi iko kwenye silence na hakuna wowote hapa ila inadondosha maji kwenye exhaust.
Ok naweza kuthubutu kusema sio tatizo la ring hilo ila ignition/sparking system na haswa hapo kwenye plugs !!!!!!!
Kuna mengi yanaweza kusababisha.'
Unashauriwa kumuona fundi ili akupe uhakika zaidi
- Oil iliyowekwa katika injini sio sahihi, oili ya petrol engine ni tofauti na ya diesel engine.
- Spark plugs inaweza kuwa zimechoka
- Piston rings zinaweza kuwa zimechoka
- Uwiano mbovu wa hewa vs. Petrol inayoingia ktk engine
Mkuu General8 wazo langu ni kuweka plugs mpya kwanza halafu nione. Na je huko kudondosha maji kwenye tailpipe unakuzungumziaje?
Kuna mengi yanaweza kusababisha.'
Unashauriwa kumuona fundi ili akupe uhakika zaidi
- Oil iliyowekwa katika injini sio sahihi, oili ya petrol engine ni tofauti na ya diesel engine.
- Spark plugs inaweza kuwa zimechoka
- Piston rings zinaweza kuwa zimechoka
- Uwiano mbovu wa hewa vs. Petrol inayoingia ktk engine
Baada ya kukaa kwenye silence kwa muda nikakanyaga accelerator, ikatoa moshi. Na huu moshi actually ni wa blue siyo mweupe.
Wakati huohuo inapotoa moshi huo inadondosha majimaji
Kitu kingine hii gari sasa hivi inakula mafuta kuliko kawaida!
Lakini pia ukumbuke baada ya kusafisha plugs na kubadilisha petrol filter actually na baadae kidogo kubadili engine oil na kuweka nyingine ( ya BP) SASA HIVI MIS NI KAMA IMEKWISHA WAKATI KABLA ILIKUWA KALI SANA KIASI KWAMBA ILIWAHI NIZIMIKIA MAHALI na ndipo nikaanza kujiuliza iwapo ni petrol chafu au plugs au piston au petrol filter au air cleaner ba kupata majibu.
Najiuliza kama tatizo ni piston rings kwanini MIS ikaisha wakati sijazibadili
Kaka mimi ntafia hapo tu kwenye uchomaji au uchanganyaji wa hewa na mafuta ili kupata mlipuko ndio penye shida!!!
Wengi hawayajui haya yaliyochambuliwa na wadau hapa. Ikiwa kuna mwenye nyongeza aweke hapa please
Langu ni Cresta gx 100 vvti engine, automatic.kuna mambo hayajakaa sawa MKUU.Mara NYINGI gari ya petrol kutoa misho husababishwa na mchanganyiko wa mafuta na hewa kutokuwa sahihi.
au oil kuingia kwenye compastion chamber na kuunguzwa pamoja hewa na mafuta.
na kuna sensor nyingine ambazo zikifa au kuwa mbovu husababisha tatizo hilo kama airflow/airmass. vacuum sensor oxygen sensor spark plug zikichoka n.k
kwa ufafanuzi zaidi ungesema ni gari aina gani na lina engine aina gani.ndio ingetoa wepesi.
tusije tukawa tunatoa ushauri wa gari ya injection kumbe yako ni ya cabureter
hahahaha, umenikosha sana ndugu yangu ingawa ni sms ya siku nyingi ila imejibu swali langu la leo.Naomba nitofautiane na wooote mliochangia except bwana mmoja alosema maji kuchanganyika na petrol.
Hilo gari halina shida yeyote, ni gari zuri kabisa na kibongo bongo (hope hukununua mpya) bado ni kitu mnato hata usipeleke kwa fundi.
Moshi ama maji maji kutoka katika exhaust ni dalili kuwa ukiwa umepark gari the whole night engine iko intact na zile drops za combustion zimetengeneza kitu kama mvuke ambao hawezi pata kwenye gari yenye engine kuukuu.
Mimi sio mtaalamu wa magari ila ni uzoefu tu kwa yale niliyomiliki. Usipeleke kwa fundi, hongera gari bado sana hilo
hahahaha, umenikosha sana ndugu yangu ingawa ni sms ya siku nyingi ila imejibu swali langu la leo.