Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Petrol ni nzito ndio maana
tokea lini???
zaidi ya diesel???
mhhhhhhh ungepita kimya sio mbaya
Ndugu nilikuwa na usingizi ndio maana nikachanganya mambo manake hii thread ililetwa usiku mnoo!!
Lakini kwani ilikuwa ni lazima uchangie mkuu? Umenichekesha sana! Da!
Kama ni asubuhi tu inaweza kuwa valve seals zimechoka huwa zinakakamaa .
kuna mambo hayajakaa sawa MKUU.Mara NYINGI gari ya petrol kutoa misho husababishwa na mchanganyiko wa mafuta na hewa kutokuwa sahihi.
au oil kuingia kwenye compastion chamber na kuunguzwa pamoja hewa na mafuta.
na kuna sensor nyingine ambazo zikifa au kuwa mbovu husababisha tatizo hilo kama airflow/airmass. vacuum sensor oxygen sensor spark plug zikichoka n.k
kwa ufafanuzi zaidi ungesema ni gari aina gani na lina engine aina gani.ndio ingetoa wepesi.
tusije tukawa tunatoa ushauri wa gari ya injection kumbe yako ni ya cabureter
Ni injection mkuu....... Suzuki
Moshi una rangi gani !!!???
Kuna smell gani hapo kwa exhaust, unajua harufu ya moshi mbichi!!???
Moshi una rangi gani !!!???
Kuna smell gani hapo kwa exhaust, unajua harufu ya moshi mbichi!!???
Sawia kabisa.Mkuu Idimi ni kweli ni muhimu kuwaona mafundi ila niliona nianzie hapa kwa kuamini kuwa wako mafundi wazuri au wengine wenye uzoefu wa hili kabla ya kuwaendea mafundi garage!
Mkuu nimeiwasha sasa hivi iko kwenye silence na hakuna wowote hapa ila inadondosha maji kwenye exhaust.