100% polisi ndiyo wajinga na wala rushwa. Mimi nasimama na huyu dogo, angekuwa gaidi angeua pia raia waliokuwa wanapita. Nadhani PCCB wachunguze na polisi waliokufa na waliohai wachunguzwe ili kubaini na hata hao marehemu wafunguliwe kesi ya unyang’anyi na ujambazi. Ingekuwa enzi za Magu wangeogopa hao polisi ila kipindi hiki walitaka kumuua kama akina Zombe ila dogo inaonekana yupo vizuri.
new member!
Polisi ni hatari, maana ukiangalia mazingira ya mshikaji wala hayakuwa ya hatari. Natamani PCCB wafanye kazi na TISS wawawue kabisa askari majambazi wanatuharibia nchi. Angekuwa gaidi angaua raia maana walikuwa wengi kwenye magari. I hope kama alikuwa muislamu safi ataiona ahera kwa sababu kaua wabaya wake tu.Kidogo naanza kuielewa hii ishu...
Polisi mlaaniwe nyie na vizazi vyenu.
Siwapendi kbs wasee nyie
Kikundi chenu kitasakwa na kumalizwa kama kule MKIRUnew member!
1542
kama wapumbavu mapolisi walitaka kumdhulumu mali zake na akawachapa chuma, amefanya lililo jema na tumuombee asamehewe dhambi zake mtakatifu hamza.
hao polisi wasiagwe kijeshi, ni majambazi kabisa.
Taratibu Mkuu.mleta mada ulivyoandika tu "sio wahaminifu" nikakuona wee ni msenge tu.
Andikeni vizuri vilaza nyie.
Halafu mtoto wa kiume unaanzaje kuandika kishoga shoga??!!!
wewe mshana naanza kukuona mjinga. Sasa kipicha la kuedit unaangaika kusambaza la nini?Eeh makubwaView attachment 1908362
tulia wewe...mleta mada ulivyoandika tu "sio wahaminifu" nikakuona wee ni msenge tu.
Andikeni vizuri vilaza nyie.
Halafu mtoto wa kiume unaanzaje kuandika kishoga shoga??!!!
Sio jambazi sawa ila mtu ambae hana uzoefu na ile mijegeje anawezaje kutumia siraha kiasi kile? Mlikuwa hamjui vizuri tu
kawaumbuaIla jamani tuache masihara hivi huyu jamaa kama hilo vazi lingekuwa ni lilile la chadema ingekuwaje embu tujaribu kuvaa hivi viatu, namna viongozi wa nchii walivyo waonevu leo Mungu kawaumbua.
Achana na washamba wanaodhani kutumia bunduki ni sawa na kufanya upasuaji wa moyo.Inawezekana pia kapitia JKT mbona haihitaji rocket science kuelewa hilo?
Hapa kama mbeya