Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Chini ya serikali ya CCMni reflection ya maisha ya uhalisia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chini ya serikali ya CCMni reflection ya maisha ya uhalisia
View attachment 2033025
Wadau naombeni kujua. Ukisikiliza nyimbo za majeshi wakiwa joging utasikia misemo tata inayoashiria matusi. Mimi sina shida na matusi ila naomba kujua sababu huwa ni nini hasa.
kuna mengi hayajui huyu mdau, anahisi yupo sehemu salama kuandika chochote.Dogo kuwa na adabu, hiz kauli zako zakipuuzi kwa jeshi la nchi, zitakuingiza hatiani...usijione mjanja na hiyo fake ID yako...kuwa na heshima
View attachment 2033025
Wadau naombeni kujua. Ukisikiliza nyimbo za majeshi wakiwa joging utasikia misemo tata inayoashiria matusi. Mimi sina shida na matusi ila naomba kujua sababu huwa ni nini hasa.
Kuna watu wanaamini ukitembea na Yesu unaweza kupata mimba!View attachment 2033025
Wadau naombeni kujua. Ukisikiliza nyimbo za majeshi wakiwa joging utasikia misemo tata inayoashiria matusi. Mimi sina shida na matusi ila naomba kujua sababu huwa ni nini hasa.
😁😁😁😁😁😁Kama Tanesco Wakiwa Wanasimika Nguzo
Hahahahaha wanaimbaga hivi? Ngoja ntawafitilia nicheke[emoji1787]"huyo dada kazaliwa nalo hiloo" inye plassiiii
"Huyo dada kazaliwa nalo Hilo "inye plassii
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hii sio chumvi kweli [emoji22][emoji849][emoji849]
Huwa wanasemaje?Mkuu umewahi kuwasikiliza wale jamaa wa TANESCO wanaochimba na kusimika nguzo za umeme?... Fanya kautafiti kadogo ukiwakuta kwenye kazi hiyo uwasikilize, utagundua kuwa hao wajeshi na wale wanaofanya jogging .... unawaonea. 😉
HaaahaaaaWe nyimbo inaleta morali wewe!bila hivo mabio na fatiki zingine haziendi
Mfano voko kama hizi unakosaje morali
Akili zangu sizielewi sijui pombe!sijui bangi!
Ya leo kali weka nusu,ya leo kali weka yote
Kunguru na kanga mzuri nani,mzuri kanga mwenye madoa,nitampataje kunguru ai,ai,wote tukae chini tujiulize,ana ka K kadogo,ai ,ai wote tukae chini tujiulize
Kunguru mwenyewe wa zenji,ai,ai
Kimbelembele maimuna kimemponza ee,maimuna akiona baka lazima asaule!
Mama amina Jero amina buku jero
Kule wanapga chenja zakoranHii kasumba ni Tanzania tu au na mataifa mengine...? Just imagine wanajeshi wa saudia..!!!
huyu nae. dunia ya mtandao kuna kitu cha kuficha?Not proper kushare hapa hio clip
Big NOOO!Ushawahi kuona wanajeshi wanatukana watu ovyo mitaani?