Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,237
- 1,696
Utumbo uliochakatwa | tazama hii video |Mtura ndo nini?
Hii tumecopy kutoka nchi gani ?Aina ya Mapishi ya Utumbo | tazama hii video |
- Maandalizi ya utumbo kwanza
View attachment 2524792
-
Kenya mkuu wanatumia sanaa hio kituHii tumecopy kutoka nchi gani ?
Mbona ipo miaka mingi,haswa kaskazi ni ,kwa wachaga wapenda nyama uko ,Arusha na moshiHii tumecopy kutoka nchi gani ?
Mimi ndo naifahamu leo hapa,kupitia huu uzi.Mbona ipo miaka mingi,haswa kaskazi ni ,kwa wachaga wapenda nyama uko ,Arusha na moshi
Wewe uko wapi nije?!Mtura ni kitu imenishinda kula.. huku nilipo naona raia wanakula sana
Ni soseji flani za kinyumbani, tamu balaaMimi ndo naifahamu leo hapa,kupitia huu uzi.
Haipo common Sana mikoa mingi,ata dar sehemu chacheMimi ndo naifahamu leo hapa,kupitia huu uzi.
Nimesema Dar hakuna, hata Mbezi/Kimara ambako wachaga ni wengi hakuna!Mbona ipo miaka mingi,haswa kaskazi ni ,kwa wachaga wapenda nyama uko ,Arusha na moshi
Hizo chache ni zipi Zwenge nijiongeza leo.Haipo common Sana mikoa mingi,ata dar sehemu chache
Hizo chache ni zipi Zwenge nijiongeza leo.
Kitambaa Cheupe tena?! SOKONI!?Sinza pale mitaa ya Africa Sana ,ambiance nilishwahi kuikuta,na kinondoni karibia na mk
UnajichanganyaKitambaa Cheupe tena?! SOKONI!?
Ndio nini mtura huo?Mambo vipi WanaJf? Tatizo ni nini hadi MTURA kupotea kwenye Bar nyingi mjini?! Wapishi hakuna?! Nilikua Kahama miezi mitatu iliyopita pale Choma Zone Mtura ulikuwepo lakini ghafla mpishi akatoweka...
Bar zilizokuwa zinatrngeneza Mtura hazipo tena.Nimesema Dar hakuna, hata Mbezi/Kimara ambako wachaga ni wengi hakuna!