Nini Sababu ya mtura kutoweka kwenye Baa nyingi Mjini?

Nini Sababu ya mtura kutoweka kwenye Baa nyingi Mjini?

Mtura ni kitu imenishinda kula.. huku nilipo naona raia wanakula sana
Mtura za huko ni kavu balaa. Unaweza kukatika koo.

Njoo mjini nilikulishe mtura kisha unarudi huko salama salimini😀
 
Back
Top Bottom