Nini Sababu ya mtura kutoweka kwenye Baa nyingi Mjini?

Nini Sababu ya mtura kutoweka kwenye Baa nyingi Mjini?

Nipo nje ya mada mkuu hilo jina la ID mbona lina ukakasi sana usiniambie umelitoa Japan
 
Unajichanganya
Hapana Zwenge kuna mitaa nishajilimit kufika, maana nikifika ni tatizo kubwa, siwezi kuangalia papa nikasepa! Bora huku nilipo kidoogo rangi haishwawishi, ila kitu black?! Nitaingia majaribuni tu, ndio maana nikija sependi kwenda sokoni
 
Hahaha Sasa sio sehemu zote pale kwa chini Kama unaenda Mori mbona pako fresh tu ,wanauza hizo bidhaa hawapo
 
Mambo vipi WanaJf? Tatizo ni nini hadi MTURA kupotea kwenye Baa nyingi mjini? Wapishi hakuna? Nilikua Kahama miezi mitatu iliyopita pale Choma Zone Mtura ulikuwepo lakini ghafla mpishi akatoweka, Mtura nao ukatoweka! Likawa linapatikana Bomu, mimi silipendi sana.

Bado najiuliza kwanini Mtura haupatikani kwenye Bar nyingi mjini wakati ni mtamu balaa?! Bia inashuka kama maziwa!? Yani hata Kimara/Mbezi hakuna Mtura?! Chefs mliomo humu, nini tatizo?! TUNATAKA MTURAAA
Heee!
 
Nipo nje ya mada mkuu hilo jina la ID mbona lina ukakasi sana usiniambie umelitoa Japan
Naishi Nagoya, Aichi, Japan Mkuu, kuna majina mazito zaidi ya hilo😂. Ila nilirudi nyumbani nikashangaa mtura umepotea kabisa?!
 
Screenshot_20240123-170930~2.png

😋
 
Back
Top Bottom