Nini sababu ya shule za Kiislamu kuungua kipindi hiki? Mivumoni Islamiki nayo inaungua muda huu!

Nini sababu ya shule za Kiislamu kuungua kipindi hiki? Mivumoni Islamiki nayo inaungua muda huu!

Majini awamu hi ya utiaji wa nia za madaraka 🤣🤣🤣🤣🤣
Nayo yanatibukwa ovyo.
Full kukiwasha
Ulishawahi kuwa na nyumba halafu ukapigiwa simu kwamba inaunguwa, ulijisikiaje/utajisikiaje ukiwakuta majirani wanachekelea na kufurahia kitendo hicho?

Ukifurahia maumivu ya mwenzako, ujue wewe nawe yako njiani kuja?

Ona huruma panapostahili huruma Kwa kuwa hata wewe shida hizo ni lazima zikupate
 
Ilianzia Ilala wiki kadhaa zilizopita.
Bakwata a serikali kuweni makini.
Kuna kitu kinachemka somewhere
Mkuu,, serekale yetu hailali; vijana wa TISS wapo mzigoni 24/7.
ni swala la muda tu mambo yote yatawekwa hadharani.
 
Back
Top Bottom