Nini sababu ya shule za Kiislamu kuungua kipindi hiki? Mivumoni Islamiki nayo inaungua muda huu!

Nini sababu ya shule za Kiislamu kuungua kipindi hiki? Mivumoni Islamiki nayo inaungua muda huu!

Usipowaonea huruma maana yake unaungana na wanaowahujumu!!

Wahujumu popote pale walipo ni majambazi tu, na uhujumu wa namna yoyote haukubaliki na Wala haukufanyi wewe uuone kuwa mahali mahali Fulani haufai na mahali Fulani unafaa Kwa kuwa Tu Eti mahali Fulani wanahujumuiana,
Sawa naungana nao.
 
wanaoijaribu serikali ya Jpm wanacheza na Mto wawaulize wenzao wa kisarawe kilicho wakuta.
 
It has reached an alarming stage. Most likely a work of an arsonist due to internal squabble.
 
Kuna propaganda hapa! Tutaijua tuuu, tena kabla hata uchaguzi mkuu...
 
Mkuu..kuna kitu ulitaka kusema..ila umebadili gia angani, unapima upepo.
 
Back
Top Bottom