Nini sababu ya shule za Kiislamu kuungua kipindi hiki? Mivumoni Islamiki nayo inaungua muda huu!

Lazima ipo sababu tena inahitaji hatua za haraka.

Leo kuna darasa linaungua huko Mivumoni Islamic
Waislamu ni watu mtima nyongo sana, mara nyingi majini yao yanawaelekeza isivyo.Hii inawezekana ni hujuma kwa ajili ya wivu nk.nk.Si unajua majini a.k.a Shetani tena,kazi yake ni kuua,kuharibu na kuiba.
 
Aonee huruma watu wanaojihujumu wenyewe?
Hayo ni matumizi mabaya ya huruma.
 
Kummmamayo
 
Aonee huruma watu wanaojihujumu wenyewe?
Hayo ni matumizi mabaya ya huruma.
Usipowaonea huruma maana yake unaungana na wanaowahujumu!!

Wahujumu popote pale walipo ni majambazi tu, na uhujumu wa namna yoyote haukubaliki na Wala haukufanyi wewe uuone kuwa mahali mahali Fulani haufai na mahali Fulani unafaa Kwa kuwa Tu Eti mahali Fulani wanahujumuiana,
 
Lazima ipo sababu tena inahitaji hatua za haraka.

Leo kuna darasa linaungua huko Mivumoni Islamic

Kwa hiyo chadema ndio hoja zenu hizi za kipindi hiki cha uchaguzi? Hii hoja ndio itawapeleka ikulu?
 
Lazima ipo sababu tena inahitaji hatua za haraka.

Leo kuna darasa linaungua huko Mivumoni Islamic

Baada ya Rafiki yake Mkuu na aliyekuwa akimlinda hadi kumbeba BAKWATA sasa Kuhamia Kigamboni nae anatafutiwa Sababu aondolewe alipo.
 
hawa jamaa tatizo hawaeleweki unaweza kuta wanajitoa mwnga wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…