Pre GE2025 Nini sababu ya Ushiriki mdogo wa Vijana katika Uchaguzi Tanzania?

Pre GE2025 Nini sababu ya Ushiriki mdogo wa Vijana katika Uchaguzi Tanzania?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Watakuloga uwe zezeta ubaki duniani kama kama bendera fuata upepo ukaona heri wangekuua😁😁
kufa unapachukuliaje wewe! mi bado nataka niponde uhai niufaidi kama wanataka kuniua basi nitawapigia kura...🤣
 
Vijana hawapendi siasa Ila wanapenda kile kinachopatikana katika 'SIASA'


#
 
Nimeusikiliza, mjadala umeenda vyema..
 
Back
Top Bottom