aretaskimario
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 527
- 247
duh! Hatari!
Sio hatari ndugu yangu huo ni mwanzo wa kuanza kujitambua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh! Hatari!
Machale yanaendana na kuamini kua nikisikia jicho langu la juu kulia likicheza basi ntasafili safari ya mbali,nikitaka kwenda mahali na mguu wangu wa kushoto ukawa kama hautaki kunyooka vzr basi nikilazimisha kwenda ntapata ajali,machale ni ishara ya jambo linalokuja mbele yako liwe baya au zuri.lakini naomba Mshana Jr atie miguu hapa fasta
hhuyo anaitwa pepo wa uaguzi na kwenye biblia kaandikwa
Kwanini watu wengine huwa na machale juu ya jambo baya liwezalo kumtokea au tayari linamtokea wakati huo huo. Hata wengine utasikia akisema "Moyo wangu unauma" wakati huo huo anadai kumkumbuka mtu wa karibu kama vile mke au mme wake akihisi kumfanyia jambo baya lolote.
Mtu mwingine utasikia akisema sina amani kabisa kusafiri leo, anaahirisha kusafiri lakini baadae utasikia basi ambalo angesafiria limepata ajari mbaya hata kuua au kuumiza watu. Maswali yangu ni,
1.Je Nguvu ya machale hutoka kwa Mungu au wapi?
2.Je Watu wote wana machale au ni baadhi tu ya watu wana uwezo huo.
3.Je kuna njia ya mtu kukuza uwezo wa machale yake.

Binadamu ameumbwa na uwezo mkubwa wa kutambua mambo yaliyobeba nje ya mwili kwa njia ya kiroho lakini vilevile mwili una natural defense ambayo ina uwezo wa ku foresee hatari au kheri ijayo, kinachotuangusha wengi ni hizi harakati za maisha zinazofanya ufahamu wetu utawanyike huko na huko na kukosa nguvu ya kuweza kufanya kazi yake sawasawa
Kuna watu wenye ufahamu wenye nguvu kwamba pamoja na kutawanyika lakini bado ile nguvu ya ku foreseen inabaki palepale, meditation na elimu za utambuzi ni vichocheo muhimu sana kuendeleza machale ambayo yanatokana na sixth sense
Sixth sense?kuona,kusikia,kugusa,kuonja na kunusa,hiyo sixth sense ni ipi mkuu!
Kila mtu ana huo uwezo ila inabidi uendelezwe. hapo mwanadamu hua anatumia sub-concious minds, uwezo ambao wataalam wetu hawana maneno rahisi ya kuuelezea
mawasiliano ya kiroho katika milango nane ya fahamu ingia hapo ujisevieSixth sense?kuona,kusikia,kugusa,kuonja na kunusa,hiyo sixth sense ni ipi mkuu!
asee nimejarbu kumeditate duh
Huwazi??Daaah! Hata mimi nimejaribu hiyo mediteshen mzee,lkn inanishinda kwani tatizo langu siwezi kukaa bila kuwaza,kila dk nafungua macho,ila nahisi ni hii serkali ya mwendokasi hainipi nafasi ya kurelax! Mshana Jr. itabidi anipe darasa zaidi!
Kwanini watu wengine huwa na machale juu ya jambo baya liwezalo kumtokea au tayari linamtokea wakati huo huo. Hata wengine utasikia akisema "Moyo wangu unauma" wakati huo huo anadai kumkumbuka mtu wa karibu kama vile mke au mme wake akihisi kumfanyia jambo baya lolote.
Mtu mwingine utasikia akisema sina amani kabisa kusafiri leo, anaahirisha kusafiri lakini baadae utasikia basi ambalo angesafiria limepata ajari mbaya hata kuua au kuumiza watu. Maswali yangu ni,
1.Je Nguvu ya machale hutoka kwa Mungu au wapi?
2.Je Watu wote wana machale au ni baadhi tu ya watu wana uwezo huo.
3.Je kuna njia ya mtu kukuza uwezo wa machale yake.
Machale yapo ya kutoka kwa Mungu na yapo ya kutoka kwa Shetani, inategemea na Aina ya Maisha yako unayoishi. Ukibahatika ukapata ya kutoka kwa Mungu basi ujue umefanikiwa na umepata bahati na zawadi kubwa. Wapo watu wengi wanayo machale ya kutoka kwa Mungu ila si rahisi kujitangaza na huwezi kuwajua, wengi wao ni watu wanaopenda kujishusha. Na si lazima uwe kiongozi mkubwa wa dini ili uweze kupata zawadi hiyo kwa wale wapenzi wa masuala ya dini. watu wenye machale unaweza kuwajua kwa maneno na matendo yao. Mfano inaweza kutokea akatoa ushauri mkaukataa, ila anaweza asiwalazimishe lakini jambo hilo akalifanya peke yake [ukitaka kujua kuwa ana machale au la muulize akiwa peke yake madhara ya kutofuata ushauri huo] ( LAKINI si wote wanaofanya hivyo wana machale, isipokuwa ni dalili mojawapo ya watu hao).