Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF



!
!
Threesixteen himself..... Nilikuwa nampenda sana mcheza mieleka mmoja aliitwa Stone Cold Steve Austine threesixteen himself.... Sasa yule comentator alikuwa anataja vizuri mno na kuongeza himself mbele. Kwa muda mrefu nimeitwa teacher threesixteen hasa mshkaji wangu mmoja hivi mwarabu. Nilipokuja huku sikupenda hilo la teacher kwani sio mwalimu tena ndio nikaona nitumie hili la threesixteen himself. Hiyo avatar ni ya king Julien wa movie moja ya Penguins of madagascar. Naipenda sana hiyo cartoon.
 
hahhaa humo kwenye hiyo movie kuna doctor mmoja Anaitwa Dr.Ben Sober,Natamani sana kuchange jina langu liwe hilo(Ben Sober) ila sijajua kama JF ina hiyo option...mishe mishe za yule doctor Zina uhusiano mkubwa sana na jinsi nilivyo aysee
Yes, you can change it,
 
Huu uzi umenivutia cjui ni hzi story za wananchi. Nweiz mi jf nmeijulia ukubwani lakini i loved the mystery ya kwamba hamjuani majina wala sura hence the name siri hyo 123 mbwembwe. Avatar yangu ni ya mtoto napenda watoto wazuri wazuri japo nlikua mbaya utotoni hahahahah copy ya mzee
 
avatar ni mimi mwenyew, mara yakwanza kuna jina nilikua natumia, baada ya kuchange device nikasahau paswrd ikabidi nitumie hili makwiku,

chanzo cha mabwiku kuna siku nilikua na bro wangu seblen, sasa sijui alinitania nn nikachukia sasa mdogo wangu wa kike akaninong'oneza kua nimuite (mabwiku)

Nilimuita alichukia kinoma, sasa toka hapo nikapenda hilo jina japo sijuagi maana yake, nilipojaribu username nyingi zikawa zimetumika ikabidi nitumie mabwiku ili nisisahau tena.
 
Mara nyingi nikisoma username name yako tatty huwa najichanganya nakujikuta nasoma 'Teti' jina la mkuu wa shule mmoja ambaye naamini kama ana kitabu cha kumbukumbu ya wanafunzi wake waliomsumbua sana jina langu lazima litakuwa bolded na rangi nyekundu...hivyo jina lako unikumbusha mengi sana kuhusu maisha ya shule mkuu.
 
Hahaha....i get that a lot mzee, ila tusubiri tuone, hii ni sura ambayo only a mother can loveπŸ˜€
Mii ungenitafsiria maana ya 007 maana yake na kwanini mtengenezaji aliitumia hiyo kwa akina Sean Connery
Mmm ndio nitakuja na Ukwaju na avatar yangu
 
ISO is my self made nickname. Hizo ni herufi kwenye jina langu halisi.

M.CodD - Master Code Dreamer. My passion. My job description.

Avatar: The Red John Smiley from my favorite series, The Mentalist. You see it, you feel dread. Tiger Tiger.
 

Utotoni wote tulikuwa wabaya asee!!! Ila afadhali huku ukubwani kidogo alhamduπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

That one thing about families, huwa kunakuwa na matani yasiyo na mwisho na vimajina vya hapa na pale ambavyo nobody ever knows the origin, utotoni nilikuwa naita kimbo😱😱

Sikawai kujua kimbo lilitokana na nini mpaka leo hii😱
 
Mii ungenitafsiria maana ya 007 maana yake na kwanini mtengenezaji aliitumia hiyo kwa akina Sean Connery
Mmm ndio nitakuja na Ukwaju na avatar yangu

007 ndio alikuwa the most dangerous agent ktk british secret agency hiyo, so huyo ndo alikuwa anatumwa zile deadly missions, wako maagent wako wengi ila wengine nahisi walikuwa wazembe tu...ukweli with a bit of chumvi
 
#Team Kapuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…