Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Deo Corleone ni jina langu halisi
Avatar ni zidane
Avatar ni zidane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa..... as one tunawakilisha.Sawa KAPUKU.....
Kuna siri kubwa sana chini ya majina tunayotumia humu JF pamoja na avatar zetu (wale wanaotumia picha zisio zao).
Kwanini uliamua kujiita A na sio B?!
Kwanini a jina feki na sio jina harisi?!
Nadhani nianze na mimi mwenyewe, sizzya007 ni jina modified kidogo, hapo zamani nilikuwa natumia sizya007 humu jf ila nilipobadili device nikawa nimesahau password ikanibidi nifungue acc mpya na kutumia sizzya007, jina hili linatokana na mizuka na mahaba mazito ambayo nilikuwa nayo kwa movie za James Bond. Toka enzi hizo za VHS, mie nilikuwa nazo movie nyingi sana za huyu mwamba! Basi rafiki na ndugu wa karibu walianza kuniita 007, nilivyofika chuo wale nilioachana nao primary ndio wakaliibua upya, ila muda huu ndio likaja na sizya007🙄
Hili ni jina ambalo nalitumia mitandao yote ya kijamii ambayo nipo, ila kwingine nimelifanyia utundu kidogo.
Sasa, natamani kujua majina ya wengi humu jf atleast origin yake ni nini hasa! Nitamzungumzia mmoja tu ambaye huyu nadhani itabodi alifafanue lake kwani limekaa kifigisufigisu, GENTAMYCINE😱😱
GENTAMYCINE, nikujaribu kulinyumbua napata ukakasi, GENTA MY CINE😳
Why should i GENTA your CINE?! And what is CINE?! Na kuGENTA ndio kufanya nini😱😱
Cc GENTAMYCINE njoo ujibu, jina liko kifigisufigisu sana hili.
Wengine ni
Faizafoxy
TheBoss
Lara1
Rubii
Bitoz
Miss chagga
Bansenburner
Mshana jr
YEOHANDA
perry
tatty
cute b
Evelynsalt
Stroke
Nyani Nyabu
Mwanakijiji
Mwanahabari huru
Mzama chumvini
Nahree
Na wengine kibaaao, ebu funguka kidogo kwanini unatumia jina hilo?!
🙄🙄
Yes, you can change it,hahhaa humo kwenye hiyo movie kuna doctor mmoja Anaitwa Dr.Ben Sober,Natamani sana kuchange jina langu liwe hilo(Ben Sober) ila sijajua kama JF ina hiyo option...mishe mishe za yule doctor Zina uhusiano mkubwa sana na jinsi nilivyo aysee
yep yep yeyoo...Billy Crystal the new "consigliere "hahhahaBilly Crystal ?
Mi za rangi kibao ninazo hadi simple zenye nembo ya FASHION duh sipo poa sana but all star nnzo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] black and white
Mara nyingi nikisoma username name yako tatty huwa najichanganya nakujikuta nasoma 'Teti' jina la mkuu wa shule mmoja ambaye naamini kama ana kitabu cha kumbukumbu ya wanafunzi wake waliomsumbua sana jina langu lazima litakuwa bolded na rangi nyekundu...hivyo jina lako unikumbusha mengi sana kuhusu maisha ya shule mkuu.Owkey ni hivi.
nilikuwa na kajamaa flan hivi enzi za ujana..kalikuwa kachuchu kangu basi akawa anafupisha jina langu la kinyumbani...akawa ananiita Tatty..ikawa hivyo. Friends mpk familia yake hasa mama yake (Mungu amrehemu) waliniita Tatty. That was 17 years ago.
Hiyo avatar...sifanani sura na hiyo pic..ila skin na nywele kiasi vinafanana.
Mii ungenitafsiria maana ya 007 maana yake na kwanini mtengenezaji aliitumia hiyo kwa akina Sean ConneryHahaha....i get that a lot mzee, ila tusubiri tuone, hii ni sura ambayo only a mother can love😀
Pamoja sanaSana tu
Huu uzi umenivutia cjui ni hzi story za wananchi. Nweiz mi jf nmeijulia ukubwani lakini i loved the mystery ya kwamba hamjuani majina wala sura hence the name siri hyo 123 mbwembwe. Avatar yangu ni ya mtoto napenda watoto wazuri wazuri japo nlikua mbaya utotoni hahahahah copy ya mzee
avatar ni mimi mwenyew, mara yakwanza kuna jina nilikua natumia, baada ya kuchange device nikasahau paswrd ikabidi nitumie hili makwiku,
chanzo cha mabwiku kuna siku nilikua na bro wangu seblen, sasa sijui alinitania nn nikachukia sasa mdogo wangu wa kike akaninong'oneza kua nimuite (mabwiku)
Nilimuita alichukia kinoma, sasa toka hapo nikapenda hilo jina japo sijuagi maana yake, nilipojaribu username nyingi zikawa zimetumika ikabidi nitumie mabwiku ili nisisahau tena.
Mii ungenitafsiria maana ya 007 maana yake na kwanini mtengenezaji aliitumia hiyo kwa akina Sean Connery
Mmm ndio nitakuja na Ukwaju na avatar yangu
#Team Kapuku.Bitoz ni jina nililopewa skul na kitaani kutokana na uvaaji wangu......yaani kuanzia uniform hadi kitaani sikubali kufanana na mtu .....kupiga pamba vizuri ni kipaumbele changu japo mimi ni KAPUKU....
Avatar inawakilisha
* kutangaza utalii
* Tembo bishoo
*kupinga mauaji ya tembo
NIMEELEWEKA