Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

Napenda sana uigizaji wa Robert De Niro...
kuna movie inaitwa...Analyze this ..
aliulizwa na daktari 'what do you do for a living?'
akajibu 'i am the boss' 'i don't do anything'..
sijawahi isahau hiyo scene....
movie ya ki gangster? mwenyewe namkubali sana jamaa
 
Its a series inaitwa , the tomorrow people, sasa kuna mdada anaitwa astrid finch nampenda sana na ndiye niliye mweka kwenye avarta
Hilo jina Finch , linanikumbusha jamaa aliyekuwa anaitwa Harold Finch kwenye series ya PERSON OF INTEREST.....

one of my best actor! The man had made a surveillance machine ! Something that can find you and retrieve your personal informations....

Hii thread nitakumbuka mengi sana
 
Annie Josh (Anna Joshua) siyo majina yangu but ni majina imaginary ya watoto wangu wawili ntakaojaliwa na M/Mungu...Nina Imani atanipa
Nayapenda maana wenye majina hayo wana sifa ya upole na utu Wema mostly wacha Mungu.

Behind my avatar ... I used to trust human beings much! Sikujua binadamu aweza kuwa na tabia Za kinyama au kumtendea binadamu mwingine yasiyofaa! I came to realize human beings are not to be trusted Kwa niliyoyaona Kwa dada yangu! Alitendwa na mumewe yasiyohadithika licha ya kuwa dada yangu aliweka rehani mambo Yake muhimu kwaajili ya Upendo Kwa mumewe...lkn alichotendwa hatokaa asahau!
Pia nami Nimepitia kadhaa yanayonifanya nione sina haja ya kumwamini sana binadamu...naishi naye KIAKILI tuu! But that notion haizuii kuona mema yaliyomo kwenye ubaya mchache wa Mtu
 
Pole dear! Omba Mungu àkusahaulishe.....na nakutakia malezi mema ya Anna na Joshua panapo majaliwa
 
Hilo neno Rodger! Nakumbuka movie yangu ya Lone survivor! The best movie in my life....

Movie hiyo huwa sichoki kuiangalia, wataleban walitoa dozi nene mno ambayo jamaa hawatokaa kuisahau😱
 
Movie hiyo huwa sichoki kuiangalia, wataleban walitoa dozi nene mno ambayo jamaa hawatokaa kuisahau😱
Jamaa wanachinja mtu from the back....! Yaani unakatwa shingo ukiwa kifudifudi...hataree sana
 
Naombeni kuuliza hivi LIKES za KAPUKU kuonekana kwenye post mwisho ni 5 tu ht km umepewa 20?....mbona kwa wakongwe huonekana hata 30...
 
Wanakuonea eeh? 🙄
Yaani ht thread zangu zipo ambazo napata notifications likes zimefika 20,lkn pale kwenye thread/post huonekana 5 LIKES ...cha ajabu hapohapo jirani unakuta mtu ana 9LIKES

Kuna hujuma
 
Hhhhhhh daah nouma sanaaa me bhna historia ya jina langu imeaanzia kitaani ninapo ishi japo hpo nyuma nina ma nick name mengi kama KISHOMORO, WAKUJAMP, FUKO, RAMANINO ila hili VINJUNGA "limetokana naa uvaaji wa bucta na pensi yaan nguo zisizoficha magoti me nilikuwa sinaaga swaga za suruali yaan ukinipa suruali naenda kwa fundi naikata inakuwa kinjunga asee ni nomaa nikawa maarufu kihivyoo
 
Back
Top Bottom