Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF


πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ tunafanana mkuu
 
Unavyolalamika jamani?? Ila kweli, sio fair
Sasa tunyamaze tu?
Tukiona sio fair.....
Hata ukichunguza mleta mada kaleta issue nzuri lkn wakongwe + maarufu wanapita kimyakimya
Makapuku tuungane
Tupunguze kuwashobokea
 
Na mm nisemepo kidogo

Kama unataka mali utaipata shambani

Kama afya utaipata shambani pia

Ni title ya wimbo wa ndugu ya mmoja namkubali sana...namwitaga prof.Farid (fid q)
FRESH YA SHAMBA

avatar ni kwamba nna binti now...yeye pamoja na mama ake tunaitengeneza avatar

So furesh
 
Bansen Burner inaproduce heat ila ad kujiita hvo ni kipindi nasoma tulikua tukipanda Daladala Toyota Hiace sehem wanafunzi tulikua tunaambiwa tukae ni juu ya engine ya gari hyo sehem inaunguza balaa unaweza ukahis tako linaiva ila ndio hvo umetoka skonga umechoka mbaya unakaa tu ufike"

Avatar ni jamaa mmoja anaitwa Ghost namkubali sana kwenye series ya Power Directed by 50cent. Huyu jamaa si mtu wa Kuongea sana ni mtu wa Actions...Gentleman+kitomb-
Mr James StPatrick aka Ghost
 
Hahaha mbavu cna
 
Me ni kama Asante kwa mabaya yaliyonikuta since 2015, na avatar that is I was baada ya mabaya , nilikua niko na phone day yote .. totally confused
Pole sn, wat hap..
 

πŸ˜€πŸ˜€ Pole kwa kuungua kipindi hicho
 
My name reflects my detestation for House chores that I've been forced to do all my life

avatar nilikutana nayo huko duniani nikaona inafanana na mimi.
 

Hii inanikumbusha kipindi niko advance boarding school, kwa kuwa mabafu yalikuwa ni ya kushare, mtu wa dar alikuwa anajulikana kwa weusi wa tako lake, na hii tulihypothesize kana ni matokeo ya kukalia bansenburnerπŸ˜€πŸ˜€
 
Hii inanikumbusha kipindi niko advance boarding school, kwa kuwa mabafu yalikuwa ni ya kushare, mtu wa dar alikuwa anajulikana kwa weusi wa tako lake, na hii tulihypothesize kana ni matokeo ya kukalia bansenburnerπŸ˜€πŸ˜€
Haha mkuu unachunguza watu matk ww sio mtu mzr
 
Nimei-quote tu kwa huruma ya huyo 'mkaka' teeehe teeehe cute wangu upo?
 
Haha mkuu unachunguza watu matk ww sio mtu mzr

Hahaha!!! Mie pia nilichunguzwa mkuu, kila boarding school inakuwa na vitradition mshenzi ambavyo one can not avoid if he/she has to live a peacefull life hapo shuleni, vitradition hivyo ni unbreakable, waliopitia shule za bweni wanaelewaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…