Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

Hahhaaaa kumbe alikuwa bado hajazaliwa ila ile avatar irudishe
 
Daaah!!! Hii sasa sio mazee😑😑
Mkuu dawa ya hili tatizo ni kulibeza, mnapojibu mnalikuza, liacheni litakufa kifo cha kawaida, ni upepo tu utapita
 
Iramba ni Wilaya Moja Wapo Kati ya Wilaya Sita za Mkoa Wa Singida!
Nimejiita Iramba Ili Kukidhi Haja Yangu ya Kuitangaza Wilaya Yangu Pendwa ya Iramba...
Na Pia Kupata Jukwaa la Kueleza Changamoto za Wilaya yangu Maana Mbunge Wetu Mwigulu Kaloea Dar
Poa Go West or East,Home is the Best!
 
Daah hongera na pole...Joshua ni mtu wa vita ck zote za maisha yako,,,so ujue mwanao atakuwa mtu wa mapito mazito japo atatoboa. ANNA ni aina ya wanawake wenye mapitoazito sana japo nao ni wacha Mungu na wengine ni makahaba 1/2. Ni uchaguzi mzuri japo...
 
I'd yangu haihusiani na chochote kuhusu maisha yangu na mienendo yangu! ila story tu ya kawaida!!
 
Nitairudishaaa......dahhh tushirikishe na wewe Eddy na hiyo Avatar Nini story nyuma yake.
Avatar na jina linawakilisha upenzi wangu kwa katuni niliamua kutumia jina Hilo sababu katuni hiyo inabeba jina langu pia. Ila I'm sad [emoji17] [emoji17] sababu nililikosea badala ya ed edd and eddy nikaliandika hivyo.

Zile figisufigisu za ku-edit jina mwenyewe kushindwa nikawaweka ed edd and eddy kwenye avatar kuwawakilisha my craziest boy's
 
Daah wew kiboko umeisimamia uzi wako hadi inavutia...hongera sn

Mkuu i dont even believe what is happening before me asee!!
Its a phenomenal, yaani ni balaa😱😱
 
mkuu picha uonanayo hapo ni yangu mwenyewe nilipiga bene beach kule Entebe Uganda...... na jina hapo ni sir name yangu ya Msumeno.... kwa kinyamwezi tunaitwa bha mgana msumeno... yaani koo au familia ya msumeno full stop mimi sio mwizi mpaka nifiche sura yangu
 

Ja milimo?! Mie ni wa nzega kijiji cha busondo.....pale ambapo vitunguu hulimwa sana, nice to meet u distant kinπŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…