evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,333
hujaeleweka ,...Bitoz ni jina nililopewa skul na kitaani kutokana na uvaaji wangu......yaani kuanzia uniform hadi kitaani sikubali kufanana na mtu .....kupiga pamba vizuri ni kipaumbele changu japo mimi ni KAPUKU....
Avatar inawakilisha
* kutangaza utalii
* Tembo bishoo
*kupinga mauaji ya tembo
NIMEELEWEKA
Nsoga sana nkoi!! Daah....huu uzi its a blessing to me n to everybodyππ
Yooooooo. mle mhola bhagosha. nayega sana doho abehi. nasega sana. onene nale o shinyanga.πnsoga dugu, ja wiza... hahaha, mimi ni wa ussoke mnyanyembe au mgalanganza....kule katunguru .... TBR hii kaka karibu Uganda
Hebu jaribu kuisearch kakaNimekuelewa mkuu
Hebu niunganishe na hiyo Id mkuu
yupo sana tu, ngoje nikuitie....Hahah!! Bhabeja ngosha, afu dragon mbona cute B kapotea aseeππ
Hamia OT kwanzaNataka nichukue nafasi yake ya un'ang'anizi kwa kweli
Mhhhhhhhh!!!! We haya nidanganye tu.......Edmund au?.....lingekuwapo mojawapo Kati ya Hilo walahi ningekupa zawadi ya ushindi.....lolNgoja nikupe homework hapo hamna hata moja ukipata nahamia kwenye red yenu [emoji41]
Napenda sana viatu nikiwa na hela kidogo nawaza kununua viatu
Yap napenda high heels lakini nimezeeka siku hizi navaa flat shoes tuHigh heels ndo unapenda sana?
Yap napenda high heels lakini nimezeeka siku hizi navaa flat shoes tu
Kwanini?ππ Navipenda lakini acha vinipite tu
Wacha weeeeeeee......kwahiyo nyumbani kwako umejaza viatu ,Looh!!! Nitakuja uniagaie vingine nisije anzishiwa Uzi kama wa siku Ile.....hahahaha......Na Id name?Napenda sana viatu nikiwa na hela kidogo nawaza kununua viatu
Hahahaha my dia ninavyo kama pair....hivi sio hata vingi sema napenda viatu.Jamani hata mie nimekumiss sana hivi utafiti yuko wapi jamani?Salamu zimefikaWacha weeeeeeee......kwahiyo nyumbani kwako umejaza viatu ,Looh!!! Nitakuja uniagaie vingine nisije anzishiwa Uzi kama wa siku Ile.....hahahaha......Na Id name?
Long time aiseee nimekumiss mnoo ...... msalimie kaka Yako Ntuzu mwambie yaani naumwa kwa kummiss .
Hahhaaaa haya majaribu makubwa sanaHamia OT kwanza