evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,333
hujaeleweka ,...Bitoz ni jina nililopewa skul na kitaani kutokana na uvaaji wangu......yaani kuanzia uniform hadi kitaani sikubali kufanana na mtu .....kupiga pamba vizuri ni kipaumbele changu japo mimi ni KAPUKU....
Avatar inawakilisha
* kutangaza utalii
* Tembo bishoo
*kupinga mauaji ya tembo
NIMEELEWEKA
kwahiyo uko form ngapi sasa hivi???
na wewe ni great thinker????????????