Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

Bitoz ni jina nililopewa skul na kitaani kutokana na uvaaji wangu......yaani kuanzia uniform hadi kitaani sikubali kufanana na mtu .....kupiga pamba vizuri ni kipaumbele changu japo mimi ni KAPUKU....

Avatar inawakilisha
* kutangaza utalii
* Tembo bishoo
*kupinga mauaji ya tembo

NIMEELEWEKA
hujaeleweka ,...
kwahiyo uko form ngapi sasa hivi???
na wewe ni great thinker????????????
 
Nsoga sana nkoi!! Daah....huu uzi its a blessing to me n to everybody😀😀
nsoga dugu, ja wiza... hahaha, mimi ni wa ussoke mnyanyembe au mgalanganza....kule katunguru .... TBR hii kaka karibu Uganda
Yooooooo. mle mhola bhagosha. nayega sana doho abehi. nasega sana. onene nale o shinyanga.😀
huu uzi nimeupenda
 
Yooooooo. mle mhola bhagosha. nayega sana doho abehi. nasega sana. onene nale o shinyanga.😀
huu uzi nimeupenda

Hahah!! Bhabeja ngosha, afu dragon mbona cute B kapotea asee😀😀
 
Uzi umenoga huu....japo sijamuona Faizafoxy pande hizi[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Napenda sana viatu nikiwa na hela kidogo nawaza kununua viatu
Wacha weeeeeeee......kwahiyo nyumbani kwako umejaza viatu ,Looh!!! Nitakuja uniagaie vingine nisije anzishiwa Uzi kama wa siku Ile.....hahahaha......Na Id name?

Long time aiseee nimekumiss mnoo ...... msalimie kaka Yako Ntuzu mwambie yaani naumwa kwa kummiss .
 
Hahahaha my dia ninavyo kama pair....hivi sio hata vingi sema napenda viatu.Jamani hata mie nimekumiss sana hivi utafiti yuko wapi jamani?Salamu zimefika
 
Namkubali sana aliyekuwa Dikteta wa Italy, Benitto Mussolini.

Avatar yangu ninayotumia ni kwa kumbukumbu na heshima kubwa kwa Mwanamapinduzi wa Cuba, Camilo Cienfuegos aliyefariki baada ya ndege aliyopanda kupotea na ndege hiyo haijawahi kuonekana tena.
 
Back
Top Bottom