Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

za masiku mrembo?
 
duuuuh lipia tangazo
 
Kweli JF ni raha Mimi kinumi ni jina la kiaya namaanisha dume nilipewa na babu yangu kila nilipokwenda kumtembelea enzi hizo na hiyo picha namkubali huyo jamaa kwa misimamo yake hasa kwa Africa kutawaliwa tena
 
Halafu ndizi yenyewe hawana uwezo Kula wakaimaliza.
 
Mzee=jina la ukoo tu mimi ni kijana bado..
23=tarehe ya kuzaliwa
Avatar=nilijikuta naipenda sana nchi yangu wakati wa kampeni za uchaguzi wa oct.2015..huenda ni kwa jinsi ulivokuwa na mshikemshike nkahisi hatutavuka salama..Mungu mkubwa tumevuka salama na sasa ni 'kazi tu'
 
Aisee angaau leo nimepata pa kusemea

Aaah unajua mimi ni mpenzi wa mpira na fan wa ligi ya EPL especialy Club ya Man U. Sasa hii Id niliipata kwenye mechi ya fainali ya Champions League kati yetu sisi na Chelsea. Pele wanaingia wachezaji wamevaa jezi zilizoandikwa RESPECT mikononi huku wakisindikizwa na mabango yaliyotapakaa uwanja mzima yakiwa na maandishi kama hayo. Mwisho wa mechi tunamgonga Chelsea na kuchukua bakuli letu.

So kuanzia siku hiyo nikawa nawatania mashabiki wa chelsea kwa kuwaambia RESPECT kila ninapowaona. Kama hiyo haitoshi na kibanda changu nikaandika Bango kuubwa lenye Maandishi Respect..! Hii WA BODA inawakilisha nitokako (Mpakani Tunduma)

So siku najiunga Jf nikawa nabahatisha kama naweza kujiunga... Nikaandika Id hiyo alhandulilah nikafanikiwa. Kunabaadhi ya watu wanadhani najikweza kwa kujiita RESPECT nadhani ufafanuzi huu unawafaa.

BACK TANGANYIKA
 

Respect sana mkuu, mie pia nilikuwa najuwa unajipa promo tu, kumbe chanzo ni mlivyotunyuka chelsea kwenye fainali ya UEFA😱😱
 
mkuu nikiangalia Man u ya leo na nikikmbuka hzo zama nabaki na stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…