Nimemaliza kupitia zooote tokea mwanzo, imenichukua masaa mawili, kwa kweli hongera mleta uzi Na wachangiaji pia!, kwani sijawahi kutumia muda mrefu hivi kwa social media!. Sasa zamu yangu:
Nilihangaika Sana kutumia majina yenye msisimko flani hivi, yote yakawa tayari yana wamiliki wake, nikaona shida yote ya nini, nikatupia jina la mtaa wangu wa nyumbani kabisa( nilipojifunzia mema na mabaya) likakubali!.
Kuhusu avatar:- Mimi jinsia yangu ndizi , pia ndio tunda ninalolipenda, hulikosi mezani pangu nikiwa na sahani ya ubwabwa maharagwe!, na tena ndizi kwa samaki ni chakula bora kabisa kwangu hasa nikila siku ambayo niko happy Sana!, Mwisho warembo wachache Tu waliobahatika kupatiwa huduma Yangu huwa wanahoji nimepaka nini?, mbona tamu?, nimekuwa nikipenda kuwajibu, ndizi mbivu haihitaji kusaidiwa kunoga!. Ni hayo tu! Samahani kwa usumbufu!.
Kama unahitaji ndizi ni-PM ( ladies only).