sidhani kama kila kitu kina sababu mana,tumepotea lakn kila nikitafuta sababu sipati.......kwann Man u kakumbwa na aibu hii btw nakomaaa 2Usiogope!! Msimu ujao mtakuwa na fundi wa magendo, special one
mkuu nikiangalia Man u ya leo na nikikmbuka hzo zama nabaki na stress
kila mwaka matumaini hewaUnachoongea ni kweli kabisa mkuu...
Lakini mimi hili nililitarajia baada ya kustaafu kwa SAF atleast Man U inayofahamika kwa Mashabiki wake itaanza kuonekana msimu ujao. (baada ya kuondoka Van Gal) ManU ya ukweli si ya kunyanyaswa na timu kama Tote kiasi cha kufungwa goli tatu ndani ya dk 10..! Hiyosiyo Man U ninayoijua.
Tujipe uvumilivu mdau.
BACK TANGANYIKA
La TempestadStori ni tofauti na wahusika ni tofauti pia, hebu tafuta valiant of love kama hujaiona pia yupo Ximena
Safi sana. Kumbe huyo ni wewe aisee. Vipi lakini uko poa?Mimi niliamua kufungua akaunti jf kwa jina hili na avatar hii kwa sababu
Kaka yangu alikuwa na simu fulani hivi NOKIA 1280
Kwenye Ile simu mbele ya kioo alikuwa ameandika T 1986 BUL
Siku moja nilimuuliza kuwa anamaanisha nini kuandika hivyo kwenye simu yake
Akanijibu kuwa T ni TANZANIA na 1986 ni mwaka wake wa kuzaliwa na BUL ni kifupisho cha jina langu
Sasa bhasi na Mimi T namaanisha ni TANZANIA na 1990 ni mwaka wangu wa kuzaliwa na ELY ni kifupi cha jina langu
Kuhusu Avatar hiyo ni Mimi mwenyewe yaani sura yangu kabisa iliyotukuka isiyokuwa na mashiko.
Ndiyo ni mimi mkuu.... Mie niko poa sana tu mkuu Th NameSafi sana. Kumbe huyo ni wewe aisee. Vipi lakini uko poa?
Kaka hapa kijana. Niko poa kabisaNdiyo ni mimi mkuu.... Mie niko poa sana tu mkuu Th Name
Hofu kwako Dada, kaka
Vizuri sana kama uko poa Th NameKaka hapa kijana. Niko poa kabisa
Mtaani tu. Huku naperuzi JFVizuri sana kama uko poa Th Name
Vipi wapi hiyo mkuu
Asante sanaAhaaa kumbe
Bhasi karibu kwetu
Pamoja sana mkuuAsante sana
Jioni njema ndugu,Pamoja sana mkuu
Na kwako pia kaka jioni njema iliyotukukaJioni njema ndugu,
Mwl RCT.....randomized control trials ...... Or randomized clinical trialsNa kwanini mwl. RCT na si jingine.
Yule Marina wa kwenye la tempestad jina lake halisi ni Jimena NavareteLa Tempestad
We ndo jina lake kumbe (Ximena) hapo kwenye kutamka ndio inakuwa JimenaYule Marina wa kwenye la tempestad jina lake halisi ni Jimena Navarete
Mi ni wajina wake ndio teh teh the pia kule kwao hili jina ni maarufu sana,We ndo jina lake kumbe