Hahahaha au sio.Mi ni wajina wake ndio teh teh the pia kule kwao hili jina ni maarufu sana,
Jina ni Jimena ukiliwekea swaga linakuwa Ximena ila linatakwa HimenaWe ndo jina lake kumbe (Ximena) hapo kwenye kutamka ndio inakuwa Jimena
Himena, duuuh kumbe ila Mexico na Latin America wana majina mazuri sanaJina ni Jimena ukiliwekea swaga linakuwa Ximena ila linatakwa Himena
Sana yaaani, halafu uniqHimena, duuuh kumbe ila Mexico na Latin America wana majina mazuri sana
Ulishawahi kuangalia The Hidden PassionSana yaaani, halafu uniq
Ndio niliiona, ila nimeziangalia nyingi sanaaaa, na hata sasa nikipata nafasi huwa naangaliaUlishawahi kuangalia The Hidden Passion
BeatriceKuna mkaka mmoja alikuwa king'ang'anizi kama kupe.
Alikuwa ananipenda halafu simpendi,
Sikuwahi kumwambia jina langu basi zake ikawa ni kuniita cute wangu.
Hadi marafiki zangu wakawa wanambeza wakimwona wananiambia B our cutie anakuja.
Basi siku najiunga humu nikatumia cute then B ni herufi ya kwanza ya jina langu.
Cute B
MmmmmhhBeatrice
Kwenye ile tamthilia nilikuwa namkubali sana yule Oscar kama sijakoseaNdio niliiona, ila nimeziangalia nyingi sanaaaa, na hata sasa nikipata nafasi huwa naangalia
Kumbe na we ni mpenzi wa zile tamthilia? Mbona saa hukujiita Alejandro (inatamkwa alihandro)Kwenye ile tamthilia nilikuwa namkubali sana yule Oscar kama sijakosea
Bila shaka. Kweli wanatamka alihandro aiseeKumbe na we ni mpenzi wa zile tamthilia? Mbona saa hukujiita Alejandro (inatamkwa alihandro)
Walatino hawana J, wao J wanaitamka H,Bila shaka. Kweli wanatamka alihandro aisee
Nimekubali aisee.Walatino hawana J, wao J wanaitamka H,
Hahahaha wewe. Mambo ya kimexico au sioBasi ngoja na mimi nijiite Justina π
Hahahaha wewe. Mambo ya kimexico au sio
Hata hilo zuri pia sana.Sasa nimeona hapa Jimena kule Alejandro, acha na mimi niwe Justina ππ
Hata hilo zuri pia sana.
Wapi tena?Ngoja niangalie pa kulitumia