Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

Kuna mkaka mmoja alikuwa king'ang'anizi kama kupe.
Alikuwa ananipenda halafu simpendi,
Sikuwahi kumwambia jina langu basi zake ikawa ni kuniita cute wangu.
Hadi marafiki zangu wakawa wanambeza wakimwona wananiambia B our cutie anakuja.
Basi siku najiunga humu nikatumia cute then B ni herufi ya kwanza ya jina langu.
Cute B
Beatrice
 
Mimi ni mwanachama hai wa bones and skull ni Jamii ya siri kama illuminat,Rosicrucian au freemason, Member wake tunaitwa bonesmen Hio avatar ni jonnes Keppler ni mwana astronomer Mimi pia napenda sana field hii
 
Back
Top Bottom