Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

Hii inanikumbusha kipindi niko advance boarding school, kwa kuwa mabafu yalikuwa ni ya kushare, mtu wa dar alikuwa anajulikana kwa weusi wa tako lake, na hii tulihypothesize kana ni matokeo ya kukalia bansenburner😀😀
Hahahahahahaa
 
Simba songea ni wanyama wanaopatikana Ruvuma kijiji cha lituhi tu. ni wanyama wanaofanana na penguin, hawa wanyama chakula chao kikuu ni kivuli cha shadow, na kimiminika wanachopenda ni mate ya siafu,,, pia wana sifa yao kuu wanauwezo wa kumtongoza mwanadamu wa kike na kuzaa nae...

nikaamua kujiita simba songea tangu nikiwa mtoto i lyk thiz name
 
Walengwa wa uzi huu hawawezi kujitokeza.... Kuna kitu kinatafutwa na wao wanajua wanatafutwa na hawatajionyesha kirahisi....
 
Walengwa wa uzi huu hawawezi kujitokeza.... Kuna kitu kinatafutwa na wao wanajua wanatafutwa na hawatajionyesha kirahisi....

Shekhe😱😱

Mbona unataka kuleta figisufigisu na kuogofya watu?! Hamna kinachotafutwa hapa, hii ni njia ya kusocialize tu na kupata muda wa kufurahia maisha.

Stop overthinking, it will ruin your life before you even realize.
 
Wewe ndio huelewi maana ya ulichoandika, hii ni njia nyingine ya kuwafanya watu watoke kwenye fake id zao.
Watu wanajua kuconnect dot kichizi...
Anyway endelea ku socialize
 
Binafsi natumia jina langu halisi! Acheni woga tumieni ID za kweli bhana@
 
Shekhe😱😱

Mbona unataka kuleta figisufigisu na kuogofya watu?! Hamna kinachotafutwa hapa, hii ni njia ya kusocialize tu na kupata muda wa kufurahia maisha.

Stop overthinking, it will ruin your life before you even realize.
Wahandisi tuna tabia ya kufikiri mwisho wa jambo kabla ya mwanzo, usimlaumu mhandisi mzalendo
 
Wewe ndio huelewi maana ya ulichoandika, hii ni njia nyingine ya kuwafanya watu watoke kwenye fake id zao.
Watu wanajua kuconnect dot kichizi...
Anyway endelea ku socialize
Mkuu big up, inaelekea mhandisi kweli au!
Umeona vyema, hapa nimesoma sana na nimeishia kukomenti, huu uzi umeweka watu wazi sana kiasi cha kupoteza ule ufikirishi katika Id zao japo namsifu mleta uzi
 
AHAAHAHAHAHA.....ANY ONE HERE WHO REAL CARES?....HAKUNAAA.

JINA LANGU KIKUBWA NI KUJUA NANI ANAYEJALI?....DUNIANI HAKUNA HATA MMOJA ANAYEJALI...TUNGEKUWA TUNAJALI BASI TUSINGEIHARIBU DUNIA YETU NA WENGINE KUFIKIRIA KUANZISHA DUNIA NYINGINE KWENYE OUTER SPACES WAKAISHI WAKATI WAMESHAIHARIBU DUNIA TULIYOPEWA BUREE NA MUUMBA.

AVATAR YANGU NI YA JAMAA MMOJA ANAITWA CURTIS JACKSON AKA 50CENTS...MSHKAJI NI ROLE MODEL WANGU AS AMEKUWA AKI-PROVE KUWA HAJALI KITU...GET RICH OR DIE TRYING..MY FAVORITE ALBUM.... HUNGER FOR MORE.
 
Natumia TAECOLTD kwasababu ndio jina la kampuni yangu na avatar ni ya kampuni hiyo pia...
 
Kwa kweli mimi napenda mizigo kupita maelezo, mwanzo nilitaka ID iwe ya kiswahili yaani "MPENDA MAT*KO MAKUBWA" Nikaona italeta jau kidogo, nikaamua niweke tafsida kwa kutumia lugha ya malkia. Me ni raisi wa wapenda mizigo ulimwenguni, na Avatar zangu nitakuwa naweza MIZIGO TU, I am addicted you know!
 
Siye ni kundi la kukosa tu Mkuu, hivyo sioni kama tuna chetu kwa mara nyingine tena msimu huu. Tatizo letu kubwa ni yule Arsene Wenger. Hata FA tumeikosa tena kwa kufunga kwetu.

Mkuu bak je top 4 mtachukua safari hii? Cz naona vikwazo vingi!!
 
Siye ni kundi la kukosa tu Mkuu, hivyo sioni kama tuna chetu kwa mara nyingine tena msimu huu. Tatizo letu kubwa ni yule Arsene Wenger. Hata FA tumeikosa tena kwa kufunga kwetu.
Yule mzee bado mnaye sana atoki pale lazima muwe wavumilivu kwa Wenger
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…