Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
27 ni miaka yanguMimi langu ni MGOGO27
MGOGO ni kabira langu na
27 niiaka yangu ambapo nianza kupata mafanikio na kujuana na network za kitaifa na kimataifa pia
Avatar yangu ni kuonyesha hata niweje nakumbuka mila na desturi zangu,na niliamua kutumia jina hlo baada ya kpoteza sim na nkasahau password
Hii stori mbona hajaniambia wewe mwanamke.Kuna mkaka mmoja alikuwa king'ang'anizi kama kupe.
Alikuwa ananipenda halafu simpendi,
Sikuwahi kumwambia jina langu basi zake ikawa ni kuniita cute wangu.
Hadi marafiki zangu wakawa wanambeza wakimwona wananiambia B our cutie anakuja.
Basi siku najiunga humu nikatumia cute then B ni herufi ya kwanza ya jina langu.
Cute B
Mnamuonea bure ni MPENDA MAKUBANZI tuKuna huyu anajiita 'Mpenda maku'... Aje hapa ajieleze...
Ameshanijibu tayari,Teh teh, cute b, njoo ujibu mashtaka huku.
Ndio kulee kule ndio padhuliiiBasi nitakuuliza kule au sio. Hakuna hata siri labda avatar yangu napenda viatu vya all star ( converse)
haaa! very intersting, mimi sipo kwenye list yako ila ntakueleza kidgo tu uelewe kwa nini naitwa sifileo na si jina langu?
ilikuwa mwaka, fulani nikiwa azaboy, kidato cha sita, siku hiyo nilikuwa mimi na dogo mmoja wa form one, tukivuka barabara, gafla lilikua uda hatukujua limetokea wapi,likamgonga yule dogo na kufa pale pale mimi sikufa siku hiyo, kilichotokea wakati dogo amekufa, niliona kuwa amekatwa kifua kilitengenishwa na kicha, nilikimbia kutoka faya mpka azania, nikamuita mkuu wa shule aje ashuudie unyama ulio fanywa na dereve aliyekuwa amekwisha kimbia, naikumbuka siku hiyo wanafunzi wa azania, walifunga barabara hakuna aliyepita pale police wte wanao kaaga faya walikimbia ila wewngi wao walipigwa sana, maderva walipigwa na kuuawa palepale walio jifanya wanakuja na madar dara yao.
siku hisyo nilishudia vifo vya watu wanne , ndipo nikajiita sifileo,na kwenye sehemu nyingine natumia jina hilo hilo miaka mingi iliyopita nilikuwa nmeweka profile pict ya Jeneza ilinisaidia sana kuepuka watu kuniomba ufriend, hata leo watu nikwatumia friend request wengi wao wanaignore
Haya twende sasa, wanasema usimwage mchele kwenye kuku wengiNdio kulee kule ndio padhuliii
Ni pm namba yako mkuu tattyOwkey ni hivi.
nilikuwa na kajamaa flan hivi enzi za ujana..kalikuwa kachuchu kangu basi akawa anafupisha jina langu la kinyumbani...akawa ananiita Tatty..ikawa hivyo. Friends mpk familia yake hasa mama yake (Mungu amrehemu) waliniita Tatty. That was 17 years ago.
Hiyo avatar...sifanani sura na hiyo pic..ila skin na nywele kiasi vinafanana.
Mnatafutana vichochoro gani tena [emoji125]Haya twende sasa, wanasema usimwage mchele kwenye kuku wengi
[emoji2] [emoji2] tunapajua mimi na yeye tu.Mnatafutana vichochoro gani tena [emoji125]